Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hio utaenda wiki mbili mpaka tatu mkuu...
Watu n weng waliofanyiwa usaili ukilinganisha na nyakat zilizopita hasa wenye fani

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
watu wenye fani za ICT,mechanical,drivers majina hya kufika hata 100 mkuu coz waliitwa pale mbele ili wakafanye usahili wa vitendo ut-uzunguni. mi nahis mchakato uko slow tu safari hii
 
Makamanda punguzeni spidi[emoji28]
c414af62a31948d3a7f1e719fc31a075.jpg


Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom