Hapo Bado sio gundu mkuu, ni suala la rizki tuu.Yani mimi nilivyokuwa na gundu naweza kwenda usaili wanaotakiwa watu kumi tukawa tupo kumi na Moja huyo mmoja atakayebaki Anaweza akawa ni Mimi [emoji2960]
Ndio ipo karibu na Waswanu nilimaanisha hivyo hiyo Waswanu ni Bar imepakana kabisa na UTnilimanisha makao makuu ya uhamiaji dodoma
waulize pdf linii ,wadau wanataka waende tangaMsife moyo kazeni mpaka hatua ya mwisho
Habari za Mbeya mkuu..Yani mimi nilivyokuwa na gundu naweza kwenda usaili wanaotakiwa watu kumi tukawa tupo kumi na Moja huyo mmoja atakayebaki Anaweza akawa ni Mimi [emoji2960]
Mwanza pia tumepigiwa,jumatatu tuende na vyeti vyetu halisiNimepata taarifa toka kwa mdau tabora wamepigiwa simu wanahitajika kwenye usaili MT...vp mikoa mingine wakuu imekaaje
Tutakata tamaa kaburini tuMsife moyo kazeni mpaka hatua ya mwisho
Relax mzee pdf itatoka tu mjiandae na maandalizi ya kwenda Tangawaulize pdf linii ,wadau wanataka waende tanga
kila la kheri mkuuMwanza pia tumepigiwa,jumatatu tuende na vyeti vyetu halisi
Relax mzee pdf itatoka tu mjiandae na maandalizi ya kwenda Tanga
Moro wengi wamepigiwa janaNimepata taarifa toka kwa mdau tabora wamepigiwa simu wanahitajika kwenye usaili MT...vp mikoa mingine wakuu imekaaje
Hizo nafasi zinanunuliwaga usijisumbue mkuuIvi pccb Mtu unaweza toboa bila mbanga kweli ? Maanake kuna za chini chini nilipata kwamba hizo nafasi zina connection sana na Ikulu
Nipo Tanga cityHabari za Mbeya mkuu..
[emoji3][emoji3]Natafuta mteja niuze cheti changu cha jkt aliye serious aje tufanye biashara
Kitu ambacho hakitakiwi kbsaYaani jamaa anakata tamaa kizembe.
Aseee kumbe kimya kimya....hii ngoma ngumu