Hapo Bado sio gundu mkuu, ni suala la rizki tuu.Yani mimi nilivyokuwa na gundu naweza kwenda usaili wanaotakiwa watu kumi tukawa tupo kumi na Moja huyo mmoja atakayebaki Anaweza akawa ni Mimi [emoji2960]
Gundu ni kama wanaitajika 10 alafu mupo 9 na Bado wewe uachwe.