Mkuu Mbn uhamiaji na magereza hawajataka watu wenye Cheti cha form6???? Na je! JWtz nao sio kama watapitia mfumo huo wa kutotaka wenye form6???
Tena kombi za sayansiMimi nafikir ni sababu ya idadi walioajir kwa upande wao ni ndogo ukilinganisha na polisi....ndio maana hata zimamoto kwa form six wanachukua watu 50 pekee
Tena kombi za sayansi
Maafande sisi mujibu wa sheria tunaruhusiwa kuomba TIPIDIEFU au ndo azweaa ni walojitolea tu
Hawa jamaa hawanaga formula maalumu hawa wanaweza andikisha ht uraiani INA depend na mahitaji yaoNgoja tusubir tuone...maana mwaka 2018 walitaka wenye fani regardless cheti cha jkt...
Hapana, Baba kanituma wana nafasi zao, Hizi za Watanzania wote.Vitisho vingi humu... Hivi hizi nafasi zinajumuisha na wale baba kanituma?
Nguvu kazi inatafutwa hasa baada ya kuibadiri kutoka Idara kuwa Jeshi hivyo lazima liendane na majeshi yote,elimu za juu zipo nyingi sana UT sasa malindo kweli Afisa wa nyota 1 abebe SMG kulinda? Ndiyo maana wamechukua hao kidato cha 4 kama ilivyo kwa ZT tu.Mkuu Mbn uhamiaji na magereza hawajataka watu wenye Cheti cha form6???? Na je! JWtz nao sio kama watapitia mfumo huo wa kutotaka wenye form6???
Nguvu kazi inatafutwa hasa baada ya kuibadiri kutoka Idara kuwa Jeshi hivyo lazima liendane na majeshi yote,elimu za juu zipo nyingi sana UT sasa malindo kweli Afisa wa nyota 1 abebe SMG kulinda? Ndiyo maana wamechukua hao kidato cha 4 kama ilivyo kwa ZT tu.
Kuhusu TPDF wale wakitoa nafasi inategemea kwa wakati huo wametaka nini ila kama ni kwa wote huanzia la 7 mpaka shahada ila bado kuna elimu zenye ujuzi maalum huwapa kipaumbele,afya,mafundi,wazamiaji,rubani na injinia nk.
Tuma posta boss,Anwani zipo ndio tumeziona sasa barua inatumwa posta au naishika napeleka ofsini ?
Kwa wale wasio na fani kwa majeshi hayo yaliotuma nafsi
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Vipi tenaKaeni mkao wa kula.
Kaeni mkao wa kula.
Au ndo tpdf zipo njiani hahahaFafanua boss...[emoji849][emoji849]tupe lonjaa
Ohoooo kuna nn tena?Kaeni mkao wa kula.
Kumjazia mtu passport haihitaji iwe mrefuHivi kwanini uhamiaji hawajatoa kigezo ya urefu..?? Anejua sababu atueleweshe..
DuuuhKumjazia mtu passport haihitaji iwe mrefu