Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mkuu Mbn uhamiaji na magereza hawajataka watu wenye Cheti cha form6???? Na je! JWtz nao sio kama watapitia mfumo huo wa kutotaka wenye form6???

Mimi nafikir ni sababu ya idadi walioajir kwa upande wao ni ndogo ukilinganisha na polisi....ndio maana hata zimamoto kwa form six wanachukua watu 50 pekee
 
Tena kombi za sayansi
 
Vitisho vingi humu... Hivi hizi nafasi zinajumuisha na wale baba kanituma?
 
Maafande sisi mujibu wa sheria tunaruhusiwa kuomba TIPIDIEFU au ndo azweaa ni walojitolea tu
 
Ngoja tusubir tuone...maana mwaka 2018 walitaka wenye fani regardless cheti cha jkt...
 
Hawa jamaa hawanaga formula maalumu hawa wanaweza andikisha ht uraiani INA depend na mahitaji yao
 
Mkuu Mbn uhamiaji na magereza hawajataka watu wenye Cheti cha form6???? Na je! JWtz nao sio kama watapitia mfumo huo wa kutotaka wenye form6???
Nguvu kazi inatafutwa hasa baada ya kuibadiri kutoka Idara kuwa Jeshi hivyo lazima liendane na majeshi yote,elimu za juu zipo nyingi sana UT sasa malindo kweli Afisa wa nyota 1 abebe SMG kulinda? Ndiyo maana wamechukua hao kidato cha 4 kama ilivyo kwa ZT tu.
Kuhusu TPDF wale wakitoa nafasi inategemea kwa wakati huo wametaka nini ila kama ni kwa wote huanzia la 7 mpaka shahada ila bado kuna elimu zenye ujuzi maalum huwapa kipaumbele,afya,mafundi,wazamiaji,rubani na injinia nk.
 
Kumbe tearii uhamiaji sio idara sasa hivi..
 
Back
Top Bottom