methodinho
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 489
- 549
Duuuuh hawa magereza wanataka kunipiga ndoige kisa nimezidi umri au....hata huruma hawana asee.....khaaa😆😆😆😆
Kumbe na ww huwa unawaelewa hawa jamaa....Hawajui kama nalipenda jeshi lao aaah uuuuh.🙄
Hawajui kama nalipenda jeshi lao aaah uuuuh.🙄
Sana tu mkuu sema naona ndoige karibuKumbe na ww huwa unawaelewa hawa jamaa....
Kwa mwanzo itakuwa ngumu kukaa na raia lkn baadae ukisogea unaweza kukaa nje na maisha mengine yakasonga kakaMuda mwingi upo kambini na wafungwa...hukai na raia kabsa
Hii kitambo sana kuna marekebisho yalifanyika.Vipi hii n kwl au ilikua kitambo..View attachment 2513668
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hii nafikiri ya muda mkuu, saiv kidogo nasikia wapo vzr mkuuVipi hii n kwl au ilikua kitambo..View attachment 2513668
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwa mim navy jua private wa magereza saiv anapokea 450k au 350k kitu kama icho navy kumbuka then mtu ambae ana diploma anachukua laki 7 mana kuna mamdog wangu now anapokea laki 7 mana saiv ana diploma ya educationVipi hii n kwl au ilikua kitambo..View attachment 2513668
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
salary scale za mambo ya ndani kwa sasa hazitofautiani sana. tofauti huanza kwenye mianya ,allowance na overtime mkuuHii nafikiri ya muda mkuu, saiv kidogo nasikia wapo vzr mkuu
Hivi Takukuru nao c Mambo ya ndani piasalary scale za mambo ya ndani kwa sasa hazitofautiani sana. tofauti huanza kwenye mianya ,allowance na overtime mkuu
Usaili unafanyika mikoani mkuu na wala sio kimya kimya. Kila mkoa unaita watu wakeMaana hz mambo zinavyoenda kimya kimya......au ndo tuliozidi umri hatutakiwi tumetuma maombi bure kubabeki
HapanaHivi Takukuru nao c Mambo ya ndani pia
Hakuna kitu kama hivi. Degree afu una mkopo..ulipwe hiyo basic . Heslb waje wakate utabakiwa na hiyo pesa? No way it doesn't make sense.NI UONGOVipi hii n kwl au ilikua kitambo..View attachment 2513668
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Salary scale wizara ya mambo ya ndani zinalingana na zinalipwa kutokana na scale za serikali kielimuKwa mim navy jua private wa magereza saiv anapokea 450k au 350k kitu kama icho navy kumbuka then mtu ambae ana diploma anachukua laki 7 mana kuna mamdog wangu now anapokea laki 7 mana saiv ana diploma ya education
hapana mkuu hawa ni ofisi ya raisi pamoja na TissHivi Takukuru nao c Mambo ya ndani pia