Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Maana hz mambo zinavyoenda kimya kimya......au ndo tuliozidi umri hatutakiwi tumetuma maombi bure kubabeki
 
Vipi hii n kwl au ilikua kitambo..
Screenshot_20230211-150446.jpg


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mim navy jua private wa magereza saiv anapokea 450k au 350k kitu kama icho navy kumbuka then mtu ambae ana diploma anachukua laki 7 mana kuna mamdog wangu now anapokea laki 7 mana saiv ana diploma ya education
Salary scale wizara ya mambo ya ndani zinalingana na zinalipwa kutokana na scale za serikali kielimu
 
Back
Top Bottom