Mhhh hizo siasa nadhani wazugaji tu hao,hizo tume kama zipo zinakula hela tu ya bure,baba kantuma wanapeta kila sikuDcea,takukuru,magereza na polisi zimeundiwa tume maalumu kutathmini ufanisi na utendaji wao maana imeonekana hawako fair kiutendaji so hii inaweza wapa uoga na wakawa fair safari hii kwenye ajira wakuu
Haya mambo Ingia chomboni ndio utajua otherwise utaishia kuspeculate tu mishahara ya watu na haikusaidii chochoteKuna mwanangu yupo MT kaniambia ni laki 5 kwa mwezi, warder, kuna posho mia 3, na ration mia 3 baada ya miezi 3......labda kama atakuwa kanidanganya
Hajakudanganya,isipokua basic yao nikama 490k hivi baada wa makato wanachukua 420k hivi....plus 300k kila mwez plus 300k kila baada ya miez3Kuna mwanangu yupo MT kaniambia ni laki 5 kwa mwezi, warder, kuna posho mia 3, na ration mia 3 baada ya miezi 3......labda kama atakuwa kanidanganya
Hahaha kwamba mtu anaweza kuwa na umri tofaut vyetiHiyo 26 ni ya kwenye vyeti au ya mtaani?
Hela ya NSSF,PAYE na HESLB unakatwa kulingana na salary yako mfano HESLB wanakata asilimia 15 ya salary kwahyo kiwango watakachokata mtu mwenye 800k ni tofauti na 700kEmbu tuwekana sawa hapa kama mwalimu anapewa 700k na anakatwa mkopo na kila kitu anachukua 500k+, inakuwaje wa 800k plus nae achukue 500k +.
Wapo chini ya wizara moja ZT,MT,UT na PTPrivate wa kule take home yao haizid 550k,then jumlisha na hizo posho posho,tena wao ration ya chakula 300k wanalipa yote kwa mzabuni cash....
Isipokua wale wana posho za pango,maji,umeme
Then hawana bima ambayo kwa wizara ya ndani ni free(ya utumishi unaongeza wategemezi) ila kwa kule naskia wana fomu zao special sjui za matibabu japo sijazijua vizuri
MIMI NAELEWA HIVYO
SIO KWELI........ utofauti upo,jw wamewazid wizara ya mambo ya ndaniWapo chini ya wizara moja ZT,MT,UT na PT
Marekebisho yaliyofanywa miaka ya juzi yaliweka usawa
Jamaa amesema PT, ZT, MT na UT wapo wizara ya mambo ya ndani na amesema scale zao zilirekebishwa hapo kipindi Cha nyuma.SIO KWELI........ utofauti upo,jw wamewazid wizara ya mambo ya ndani
Kama amemaanisha hivyo its okay...Jamaa amesema PT, ZT, MT na UT wapo wizara ya mambo ya ndani na amesema scale zao zilirekebishwa hapo kipindi Cha nyuma.
JW ni wizara ya Ulinzi sasa unataka jamaa angesemaje, wizara ni tofauti so scale zitakuwa tofauti. Mnabishana vitu vidogo sana ambavto hata hamjafika hatua za kufika huko.
Upo sahihi kamandaMadogo ombeni Mungu mpate kazi either uraiani au kwenye system. Muache kuspeculate mishahara au mazaga ya watu..hayo hayawahusu. Mazaga yako ndio yatakuhusu.
Acha kufananisha TISS na idara nyengine aisee..... wapo vizur mnooPt kuna vitengo kila mwezi hukosi laki 3+ nje ya mshahara na posho kwahiyo hao wa taasisi nyingine(TISS,Jw,Pccb..)mkijumuisha pato la mwezi mnaweza kuwa sawa au kuwapita kabisa hii namaanisha kwa wale wenye viwango sawa vya elimu.
Me npo tu mtaani au wapi kivipi labda sijaelewa?Wewe upo wapi?
Zikitoka kwa degree ataomba wakt mwsho miak 30Hiyo 26 ni ya kwenye vyeti au ya mtaani?
Kama wanaolinda bank wakuu kwa Mwez wanakuja lak 3 ukitoa mishahara yao mbon PT kuzuri sana kuliko hata huko jwtzAcha kufananisha TISS na idara nyengine aisee..... wapo vizur mnoo
Wanasema polisi Wa LINDO kama benki anapewa 10,000/= per day so kama unasimama LINDO wiki 2 una 140,000/= out of salary na out of allowance zao.Kama wanaolinda bank wakuu kwa Mwez wanakuja lak 3 ukitoa mishahara yao mbon PT kuzuri sana kuliko hata huko jwtz