Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Wanasema polisi Wa LINDO kama benki anapewa 10,000/= per day so kama unasimama LINDO wiki 2 una 140,000/= out of salary na out of allowance zao.

Same na Polisi (FFU) wakienda kwenye misafara ya viongozi wanapewa Posho Yao per day.
Wengine wanalinda Mwez mzima bank so anakunja kam lak 3 hiv na wapo ambao hawabadilishwi wao kaz yao kulinda bank tu
 
Jamaa amesema PT, ZT, MT na UT wapo wizara ya mambo ya ndani na amesema scale zao zilirekebishwa hapo kipindi Cha nyuma.

JW ni wizara ya Ulinzi sasa unataka jamaa angesemaje, wizara ni tofauti so scale zitakuwa tofauti. Mnabishana vitu vidogo sana ambavto hata hamjafika hatua za kufika huko.
Ahsante chief kwa kumuweka sawa
 
Wengine wanalinda Mwez mzima bank so anakunja kam lak 3 hiv na wapo ambao hawabadilishwi wao kaz yao kulinda bank tu
You are speaking from experience ama..
GD au FFU huwa wanalinda kwa rotation na kuna siku wanakua na offdays na pia kuna majukumu mengine ya kiofisi..how comes mtu alinde siku 30 zote za mwezi?
 
Wengine wanalinda Mwez mzima bank so anakunja kam lak 3 hiv na wapo ambao hawabadilishwi wao kaz yao kulinda bank tu
Pia sio kila bank au taasisi ukilinda wanapewa 10k..inategemeana boss
Pia kuna lindo zingine ni kwa mkuu wa mkoa au RPC
 
You are speaking from experience ama..
GD au FFU huwa wanalinda kwa rotation na kuna siku wanakua na offdays na pia kuna majukumu mengine ya kiofisi..how comes mtu alinde siku 30 zote za mwezi?
Cyo experience mkuu mbon wapo but analinda kwa for 2 weeks kila bank tena ktk hao ambao wameajiriwa juz tu yaan yy analinda Bank only Cjawah kumskia yupo sehem nyingine tangia aajiriwe mfan wik 2 yupo crdb but wik moj asubh wik inayofuata ni usku huyo ni GD
 
You are speaking from experience ama..
GD au FFU huwa wanalinda kwa rotation na kuna siku wanakua na offdays na pia kuna majukumu mengine ya kiofisi..how comes mtu alinde siku 30 zote za
Tena huyo kila cku yupo job either anaingia asubuh au lindo la usiku
 
Huwezi ingia guard kila siku chief
Chief mbon yy yupo ivo na hadanganyi na yupo mbagala ndo kituo chke cha kaz mm namfaham yupo bank kila cku na yy anasem bora apangiwe lindo apate pesa nje ya salary ipo ivo chief but unaweza kunielewesha
 
Maisha hayako uniform so anything is possible.
Chief mbon yy yupo ivo na hadanganyi na yupo mbagala ndo kituo chke cha kaz mm namfaham yupo bank kila cku na yy anasem bora apangiwe lindo apate pesa nje ya salary ipo ivo chief but unaweza kunielewesha
Ila Kwa sasa akili zetu zinawaza pdf Kwanzaa.
 
Nyie madogo mambo ya Mishahara, stahiki na mazaga zaga yote mtayajua huko huko... Nyie tulieni muingie kwanza mzigoni vitu vingi sana mtavijua kulingana na muda ukifka.

Hapa kila mmoja ataishia kusema Mwanangu anasema hv na vile ... Mshahara wa mtu na stahiki zake ni siri yake yeye na mwajiri wake...

Haina shida lakini si bado mko uraini
muda ukifika mtakua wazuri tu .
Kunguru wa manzese ndio umerudi [emoji23][emoji23]
Au umechukua picha ya jamaa kunguru wa manzese anayotumia
 
Kunguru wa manzese ndio umerudi [emoji23][emoji23]
Au umechukua picha ya jamaa kunguru wa manzese anayotumia
Mi Mkongwe sana kwenye Game Mdogo wetu...
Tunachange I'ds na Avatar kulingana na Game..
Nimekuepo hata kitambo sana na akina
Alvin01 , Tang'ana , Allern Snr , Makanya Jr. Nanga wa kwata n.k kwenye 2015 -16 kitambo kidogo...
Leo Niko huku mitaani .
 
Mrgeneous yukwapi aisee
 
Back
Top Bottom