Wengine wanalinda Mwez mzima bank so anakunja kam lak 3 hiv na wapo ambao hawabadilishwi wao kaz yao kulinda bank tuWanasema polisi Wa LINDO kama benki anapewa 10,000/= per day so kama unasimama LINDO wiki 2 una 140,000/= out of salary na out of allowance zao.
Same na Polisi (FFU) wakienda kwenye misafara ya viongozi wanapewa Posho Yao per day.