Hio December cyo kuja tena mkuu nimekusudia kumaliza mafunzo ila hio lonja ya kuja Mwez wa nane naomb nieleweshe nianze kutafut mbanga na pengin cyo police tu hata uhamiaj wanaweza kuja tenSawa kiongoz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hio December cyo kuja tena mkuu nimekusudia kumaliza mafunzo ila hio lonja ya kuja Mwez wa nane naomb nieleweshe nianze kutafut mbanga na pengin cyo police tu hata uhamiaj wanaweza kuja tenSawa kiongoz
Police watakujaje na watu hawajamaliza Coz mwezi wa nane nafikiri mpka
Saaa mim naongea kutokana navyo jua na nilivyo ambiwa mimi niwaombe tuuh tuwe wavumilivu mana watu ambao yani ebu tujue ivyo pia nawaomba watu ambao mnakuja DM mimi sio mtoa ajira au nahusika ila nimewaambia kama ndugu zangu japo siwajui ila nimeona niwaambie ili msikate tamaa coz naona wengi mumekata tamaa umu ndani mii naomba msife moyoHio December cyo kuja tena mkuu nimekusudia kumaliza mafunzo ila hio lonja ya kuja Mwez wa nane naomb nieleweshe nianze kutafut mbanga na pengin cyo police tu hata uhamiaj wanaweza kuja ten
Na ninavy waambia kuhus mwezi wa nane nikwel na kama ikitokea sio kweli basi labda kuwe kuna covid tenna ila lazima waje weken icho pia tunzeni afya zenuSaaa mim naongea kutokana navyo jua na nilivyo ambiwa mimi niwaombe tuuh tuwe wavumilivu mana watu ambao yani ebu tujue ivyo pia nawaomba watu ambao mnakuja DM mimi sio mtoa ajira au nahusika ila nimewaambia kama ndugu zangu japo siwajui ila nimeona niwaambie ili msikate tamaa coz naona wengi mumekata tamaa umu ndani mii naomba msife moyo
Na kingine weken umakini wa vyeti vyenu na vitambulish vyenu vya nida ili ata ukiwa na refa wako ujue unapitajeNa ninavy waambia kuhus mwezi wa nane nikwel na kama ikitokea sio kweli basi labda kuwe kuna covid tenna ila lazima waje weken icho pia tunzeni afya zenu
Nadhan kuna mkanganyiko hapa..wapo waliolewa hiyo mwezi wa nane ni PT...wengine wameelwa ni JWTZ. Kama ni PT hakuna kitu kama hicho kwa sababu course itakuw bado haijqisha na inategemewa kuwa ndefuNa ninavy waambia kuhus mwezi wa nane nikwel na kama ikitokea sio kweli basi labda kuwe kuna covid tenna ila lazima waje weken icho pia tunzeni afya zenu
Upo sahih mkuu mm nimesema hivo hivo PT hawawez kuja mwezi wa 8 wakat Coz itakua inaendelea hio lonja ina mashaka kidogo labda mwakaniNadhan kuna mkanganyiko hapa..wapo waliolewa hiyo mwezi wa nane ni PT...wengine wameelwa ni JWTZ. Kama ni PT hakuna kitu kama hicho kwa sababu course itakuw bado haijqisha na inategemewa kuwa ndefu
Majeshi kuchukua vijana Bado kunaendlea chamsingi tuendelee kupambna na kutokata tamaa.Mm nafikiri aje atuweke sawa ili tumuelewe
@Chui wakijani police wanaondoka tar 22 ya mwezi huu?Wamechukua watu zaidi ya 2500 ila mwezi wa nane wanachukua tenna pia nahis kozi za police tar 22 watu wataenda
N kwamba haina watu ? KabsaHuku usahili wa magereza,dizaini km kila alietuma Maombi kaitwa kwenye usahili,maana mwisho wa sms inasema mjulishe na mwenzio alieomba
😆 Haijajulikana aixee maana majina hayajabandikwaN kwamba haina watu ? Kabsa
Mbona me sijaitwa aseeeHuku usahili wa magereza,dizaini km kila alietuma Maombi kaitwa kwenye usahili,maana mwisho wa sms inasema mjulishe na mwenzio alieomba
Au hii kwa wale waliokuwa kwenye mikoa ya watu wachache maana sehemu nyingine hakuna nyomi la watu kabisaHuku usahili wa magereza,dizaini km kila alietuma Maombi kaitwa kwenye usahili,maana mwisho wa sms inasema mjulishe na mwenzio alieomba
Hii dodoma mjiniMbona me sijaitwa aseee
Inawezekana labda wakati makamanda wanamalizia kozi wengine wanafanyiwa usahili mtaani then hadi wanaapa wengine wanaenda mbona easy tu.Upo sahih mkuu mm nimesema hivo hivo PT hawawez kuja mwezi wa 8 wakat Coz itakua inaendelea hio lonja ina mashaka kidogo labda mwakani
Duuh kwan majina tyr au maan m nliombHuku usahili wa magereza,dizaini km kila alietuma Maombi kaitwa kwenye usahili,maana mwisho wa sms inasema mjulishe na mwenzio alieomba
Sio kwa PT.Inawezekana labda wakati makamanda wanamalizia kozi wengine wanafanyiwa usahili mtaani then hadi wanaapa wengine wanaenda mbona easy tu.
Sasa tuwaamin nani jmn hizo lonja zinatupa moyo na kukata tamaaSio kwa PT.
Magereza wakina Kunguru wa Manzese wapo kozi lakini kuna nafasi zingine zimetangazwa kaka me naona inawezekanaSio kwa PT.