Labda liwe Jambo jipya lakini kwa experience yangu ya kazi sijawahi kuona kutokana na sababu fulani fulani.Magereza wakina Kunguru wa Manzese wapo kozi lakini kuna nafasi zingine zimetangazwa kaka me naona inawezekana
Ila na UT c walikuja mwak jan kam hivoLabda liwe Jambo jipya lakini kwa experience yangu ya kazi sijawahi kuona kutokana na sababu fulani fulani.
Watapita makambini au had wa uraiani... Au Bado haijajulikanaText yangu ya kwanza kabisa nilisema kua mwezi wa nane JW wanakuja ipo hivi hii kuhusu JW wanakuja mwezi wa nane sio lonja hii ni habari ambayo ipo sehemu husika na ishapagwa ikitokea kama hawajaj basi kuna shida kitaifa pia nikasema kua nimesikia lonja ya PT kwa mwezi wa nane ila sina wakika mana iyo ni lonja ila kuhusu JW wanakuja mwezi wa nane saa sijajua watu hamjaelewa nini apo
JW ni makambini tuuh so ni wew na kujipanga kwako na refa wakoWatapita makambini au had wa uraiani... Au Bado haijajulikana
Endelea kutoa lonja mkuu especially za mambo ya ndan za JW ni ngumu ukiwa uraianJW ni makambini tuuh so ni wew na kujipanga kwako na refa wako
Hio Kama sikosei next week watatoaUT, PT kimyaa mpaka sasa tunywe maji mengi
So sad kwa kweli wamepoteza muda mwingi at the end wanarudi nyumbani it pains a lotMsata nasikia wamepatikana Unfit 109 tena Jana wamerudishwa Home, vijana wa kimasikini tuna wakati mgumu sana[emoji24]
Inaumiza unapata chance UT, JW, MT, PT, ZT Unaenda kozi vzuri tu then after few months ndani ya kozi unaambiwa wewe ni UNFIT hauwezi kuendelea na kozi Tena.Msata nasikia wamepatikana Unfit 109 tena Jana wamerudishwa Home, vijana wa kimasikini tuna wakati mgumu sana[emoji24]
Inaumiza sana Kamanda yaani Tena naskia ndo wale Wajenzi walioitwa Waasi wakarudishwaSo sad kwa kweli wamepoteza muda mwingi at the end wanarudi nyumbani it pains a lot
Sahihi mkuu Mapambano yaendeleeInaumiza unapata chance UT, JW, MT, PT, ZT Unaenda kozi vzuri tu then after few months ndani ya kozi unaambiwa wewe ni UNFIT hauwezi kuendelea na kozi Tena.
Just imagine umepiga kozi 4-6 Months then unaambiwa uende nyumbani, inaumiza katika harakati za utafutaji Kuna mengi yanatokea.
Tuendelee kupambana kitaa na chance ikitokea kwenda Majeshini it's better kwenda kujaribu. Al Always tuendelee kupambana huku ukisubiria PDF za PT, MT na UT, usiweke HOPE KUBWA sana kupata hizi Chance usije ukaumia usipokuwepo kwenye PDF.
Just trust in God - Comrade's I salute you [emoji120].
Hakuna cha UNFIT hapo pale msata kuna ushenzi na uduanzi mwingi sana unafanyika Rushwa imekua kubwa now watoto wa vigogo ndo wanajaa JW saizi Sijui ma IO wako wapi cjui wanafanya kazi gani now ni.miyeyusho mingi sana yani kunatia hasira pale yule mkuu wa ile kambi afai hata kidogo rushwa tupu tunatengeneza Jeshi la hovyo sana yani inatia hasira vijana wanarudishwa tuu home bila sababu ivi huyu General yuko kweli mbona afatilii haya mambo we Kanali Mwale nenda pale msata mkajionee nyny si ndoo wasaidizi wa General ebu fatilie uchafu unao endelea pale.Msata nasikia wamepatikana Unfit 109 tena Jana wamerudishwa Home, vijana wa kimasikini tuna wakati mgumu sana[emoji24]
Kwamba watu Wa kawaida wasio na refa wanapewa UNFIT Ili watoto Wa vigogo waingie katikati ya koz???Hakuna cha UNFIT hapo pale msata kuna ushenzi na uduanzi mwingi sana unafanyika Rushwa imekua kubwa now watoto wa vigogo ndo wanajaa JW saizi Sijui ma IO wako wapi cjui wanafanya kazi gani now ni.miyeyusho mingi sana yani kunatia hasira pale yule mkuu wa ile kambi afai hata kidogo rushwa tupu tunatengeneza Jeshi la hovyo sana yani inatia hasira vijana wanarudishwa tuu home bila sababu ivi huyu General yuko kweli mbona afatilii haya mambo we Kanali Mwale nenda pale msata mkajionee nyny si ndoo wasaidizi wa General ebu fatilie uchafu unao endelea pale.
enzi za zamani Jeshi lilikua uhakika sana kuchuchukua kuliko vyombo vingine watu ilikua sifa damu ,ila sahizi sijui kaingia mdudu gani, mimi nilishuhudia majina yetu ya kibogi fulani yakipelekwa makao makuu msalato ila majina yaliyorudi yakaitwa ni ya watu waliokuwa wanafanya kazi rest house za wa kuu na uraiani, Jeshi hapana aiseeKwamba watu Wa kawaida wasio na refa wanapewa UNFIT Ili watoto Wa vigogo waingie katikati ya koz???
Sijaelewa hapo mtu anatolewa katikati ya kozi n kuambia n UNFIT kwan tokea mwanzo akupimwaa???Inaumiza unapata chance UT, JW, MT, PT, ZT Unaenda kozi vzuri tu then after few months ndani ya kozi unaambiwa wewe ni UNFIT hauwezi kuendelea na kozi Tena.
Just imagine umepiga kozi 4-6 Months then unaambiwa uende nyumbani, inaumiza katika harakati za utafutaji Kuna mengi yanatokea.
Tuendelee kupambana kitaa na chance ikitokea kwenda Majeshini it's better kwenda kujaribu. Al Always tuendelee kupambana huku ukisubiria PDF za PT, MT na UT, usiweke HOPE KUBWA sana kupata hizi Chance usije ukaumia usipokuwepo kwenye PDF.
Just trust in God - Comrade's I salute you [emoji120].
Hawa wanaowaita Waasi nahisi bado wanadukuduku nao tu KiongoziSijaelewa hapo mtu anatolewa katikati ya kozi n kuambia n UNFIT kwan tokea mwanzo akupimwaa???