Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Endelea kutoa lonja mkuu especially za mambo ya ndan za JW ni ngumu ukiwa uraian
Yeah nikwel zinakua ngumu ila ndo kujipanga mii nacho sema tuuh msivunjike moyo mambo bado sanaa pia mamb mazuri ndani ya mwaka huu yapo mengi sana mana mwezi wa tano serikari inafunga hesabu zake so mjiandae ajira bado zipo
 
Mkuu nilikuuliza ila hukufanikiwa kunijibu.....hiyo tar 22 uliyosema watu wata report ni kwa upande wa PT au UT au wote kwa pamoja?

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Inaumiza sana Kamanda yaani Tena naskia ndo wale Wajenzi walioitwa Waasi wakarudishwa
Hawa watafyekwa haswaa hadi waje wavae kitenge watabaki hata 100 tu, awamu ya kwanza Mafinga paranja lilipita na watu 179 kati ya watu 853 tena huko msata wamefyeka tena hao ni Hataree
 
Kuna gereza nimeona ma service (karanga) kama 170 na walioombea mtaani kama 70 hivi wote wakisubiri usaili ..kwa idadi hiyo duuh kutoboa hapo ni kisanga
 
Duuuh aisee Hv mambo gan yanaweza pelekea mtu kuwa unfit katikati ya kozi ukiachilia maswala Labda ya magonjwa?.......
hutolewi unfit kukishaanza kozi, Unfit ni kipindi cha uzalendo yaan mnakaa jeshini hata miezi mitatu hamjaanza mafunzo halafu siku kama ivyofika tuu ya kufungua kozi ndio mchujo hapo mzee baba unasubiri tuu kupewa gonjwa lako urudi nalo kwenu[emoji23][emoji23]
 
Duuuh aisee Hv mambo gan yanaweza pelekea mtu kuwa unfit katikati ya kozi ukiachilia maswala Labda ya magonjwa?.......
Kwenye intake ya PT iliyopita kuna issue ya homa ya ini ilirudisha watu kadhaa nyumbani na wengi wao ni kama walikuw wanatokea kambi moja ya jkt...inaonekana waliambukizana huko. Ila kiukweli waliohusika na ujenzi ile kazi iliwaathiri maana nimekutana na vijana wanashida sana ya vifua na migongo...inaonekana walipiga kazi haswa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…