Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

tutalima na kufubaa sana watoto wa jamii za kikulima, but tusife moyo
 
Yaani katika majeshi yote mtu akikwambia umpe hela akuingize jwtz kimbia .. tena kimbia kwa spidi yaani usije liwa pesa yako


Huko kugumu kichiz yaani mbanga zinazidiana kete
 
Mimi mapema tu,na 5.5 nikaona nisisumbuane nao na kujichosha Ila Kuna watu watabebwa na vigezo hivyo huenda hawana
 
OYA NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA NILIKUWEPO HAPO KATANGAZA VIGEZO KABLA YA KUANZA. NILIKUA MTU WA 9 NIMEENDA PALE KUPIMA UREFU NINA 5.6 na 1/2 NAAMBIWA ILA NIKIJIPIMA NAPATA 5.8 HATA WATU WAKASHANGAA UKIKOSA KIGEZO KIMOJA NDO SAFARI NIMEAMBIWA UNAUREFU GANI NKATAJA KWA KUNUKUU VIPIMO VYAO AKASEMA BHX KILA LAKHERI DAAH NIMECHOKA SANA ILA SIKATI TAMAA

NGOJA NISUBIRI PT PDF HUENDA NDO FUNGU LANGU
 
Mimi mapema tu,na 5.5 nikaona nisisumbuane nao na kujichosha Ila Kuna watu watabebwa na vigezo hivyo huenda hawana
Kabisa ndugu huwez amini nimerudi saa 4 interview ya haraka sijawahi ona asa nishaambiwa kila lakhri nasubiri nini daaah
 
Ndege Tai Mkuu ulikuwa sahihi kila wilaya kwa MT wanachukua watu 7 kwa watakofanyia mkoa wa Mwanza hasa pale mkoani watapita 21 maana Ilemela na Misungwi wote wanatumia Wilaya ya Nyamagana na ndio kuna Gereza!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…