Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Majeshi miyeyusho sana , wanajibaraguza tu ,hizo nafasi wanaziuza , mimi kuna mtu yuko huko pwani ,ndio nyumbani kwao aliniambia mwezi kama. Mmoja na nusu umepita sasa kwamba kuna watu wanatembeza si chini ya milioni mbili na nusu humo JWTZ kuhonga ili kupata nafasi ,na yenyewe ni bahati ,unaweza toa na kudhulumiwa vile vile ,tangia hapo nikaamini ,kuwa kuna Magumashi mengi sana humo atleast magereza maana watu wengi hawapapendi.

Rushwa ni adui wa haki hasa kwa masikini , ni mtihani haswa
tutalima na kufubaa sana watoto wa jamii za kikulima, but tusife moyo
 
Majeshi miyeyusho sana , wanajibaraguza tu ,hizo nafasi wanaziuza , mimi kuna mtu yuko huko pwani ,ndio nyumbani kwao aliniambia mwezi kama. Mmoja na nusu umepita sasa kwamba kuna watu wanatembeza si chini ya milioni mbili na nusu humo JWTZ kuhonga ili kupata nafasi ,na yenyewe ni bahati ,unaweza toa na kudhulumiwa vile vile ,tangia hapo nikaamini ,kuwa kuna Magumashi mengi sana humo atleast magereza maana watu wengi hawapapendi.

Rushwa ni adui wa haki hasa kwa masikini , ni mtihani haswa
Yaani katika majeshi yote mtu akikwambia umpe hela akuingize jwtz kimbia .. tena kimbia kwa spidi yaani usije liwa pesa yako

Huko kugumu kichiz yaani mbanga zinazidiana kete
 
OYA NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA NILIKUWEPO HAPO KATANGAZA VIGEZO KABLA YA KUANZA. NILIKUA MTU WA 9 NIMEENDA PALE KUPIMA UREFU NINA 5.6 na 1/2 NAAMBIWA ILA NIKIJIPIMA NAPATA 5.8 HATA WATU WAKASHANGAA UKIKOSA KIGEZO KIMOJA NDO SAFARI NIMEAMBIWA UNAUREFU GANI NKATAJA KWA KUNUKUU VIPIMO VYAO AKASEMA BHX KILA LAKHERI DAAH NIMECHOKA SANA ILA SIKATI TAMAA

NGOJA NISUBIRI PT PDF HUENDA NDO FUNGU LANGU
Mimi mapema tu,na 5.5 nikaona nisisumbuane nao na kujichosha Ila Kuna watu watabebwa na vigezo hivyo huenda hawana
 
Leo magereza dodoma,yupo mkuu wa wilaya na makamanda wengine,km umezidi umri hata siku moja pita hivi,hujafika kimo pita hivi,unaenda mbele pale wanakagua vyeti baada ya hapo unaenda kupimwa ulefu usipofikisha unapewa vyeti unasepa,ukifikisha unahojiwa,unakaguliwa km huna Chara,unapimwa afya siku hiyo hiyo
OYA NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA NILIKUWEPO HAPO KATANGAZA VIGEZO KABLA YA KUANZA. NILIKUA MTU WA 9 NIMEENDA PALE KUPIMA UREFU NINA 5.6 na 1/2 NAAMBIWA ILA NIKIJIPIMA NAPATA 5.8 HATA WATU WAKASHANGAA UKIKOSA KIGEZO KIMOJA NDO SAFARI NIMEAMBIWA UNAUREFU GANI NKATAJA KWA KUNUKUU VIPIMO VYAO AKASEMA BHX KILA LAKHERI DAAH NIMECHOKA SANA ILA SIKATI TAMAA

NGOJA NISUBIRI PT PDF HUENDA NDO FUNGU LANGU
 
Mimi mapema tu,na 5.5 nikaona nisisumbuane nao na kujichosha Ila Kuna watu watabebwa na vigezo hivyo huenda hawana
Kabisa ndugu huwez amini nimerudi saa 4 interview ya haraka sijawahi ona asa nishaambiwa kila lakhri nasubiri nini daaah
 
Ndege Tai Mkuu ulikuwa sahihi kila wilaya kwa MT wanachukua watu 7 kwa watakofanyia mkoa wa Mwanza hasa pale mkoani watapita 21 maana Ilemela na Misungwi wote wanatumia Wilaya ya Nyamagana na ndio kuna Gereza!!
 
Back
Top Bottom