Ndio amepataAmepata?
Usiseme hivo..Mungu umsaidia anayetia juhudi kutafuta pia Mungu umwongezea alie na kingi na kumyanganya mwenye kidogo na asietia bidii kukiongeza..Kwa ushauri wangu msitoe milion 2 au 3 kisa usaidiwe kupata ajira hiyo pesa ni zaid ya kubet kama unefanikiwa kupata hiyo pesa kaa chini tuliza kichwa anza biashara kidogo kidogo utafika pale unataka kufika, unapenda majeshi tuma maombi mlilie Mungu wako kama ni yako ni yako tu uwezo wa Mungu ni mkubwa kuliko hiyo mibanga mnayoitegemea naongea haya nikishuudia mbele ya Mwenyezi Mungu nina ushahid binafsi mpaka kesho nasema Allah akipanga hakuna wa kupangua huko JW mnaposema ni pagumu kama Mungu kakupangia ni kwepesi kama kunywa glass ya maji.
ka lekisaba kangu,wame dump haloo. sema kwa mtoto wa kapuku kupata 3m ni mtiti sana , nipo manyoni tayari nasubiria msimu wa mvua nianze kilimo cha korosho na alizetiUsiseme hivo..Mungu umsaidia anayetia juhudi kutafuta pia Mungu umwongezea alie na kingi na kumyanganya mwenye kidogo na asietia bidii kukiongeza..
Ushauri wangu Kama unauwezo wa kupata mbanga itumie haswa maana n Jambo la kujiongeza na kutia juhudi maana ukisema uapply alaf upige magoti tu na kusali utakosa sana na utakua unalalamika kila siku Kama kupata utapata kwa bahati..
Pambania nafasi uku unasali Ila usiapply na kukaa tu kwamba Sala itapata kazi...
Pray and work
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ipo hivi kupambana na usaili tu na kutuma maombi ni jitihada tosha na Mungu anakuona kuwa na imani thabit unatoboa huo mbuyu ni ziada tu utahonga hata mil 5 na ikaliwa na usifikie ulipotamani kufikaUsiseme hivo..Mungu umsaidia anayetia juhudi kutafuta pia Mungu umwongezea alie na kingi na kumyanganya mwenye kidogo na asietia bidii kukiongeza..
Ushauri wangu Kama unauwezo wa kupata mbanga itumie haswa maana n Jambo la kujiongeza na kutia juhudi maana ukisema uapply alaf upige magoti tu na kusali utakosa sana na utakua unalalamika kila siku Kama kupata utapata kwa bahati..
Pambania nafasi uku unasali Ila usiapply na kukaa tu kwamba Sala itapata kazi...
Pray and work
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wapo wanaowaambia wazazi wao kuhusu pesa inafikia hatua mzazi anakata eneo linauzwa kijana anachukua mil 3 anapeleka kwa anaemjua pesa inaendaka lekisaba kangu,wame dump haloo. sema kwa mtoto wa kapuku kupata 3m ni mtiti sana , nipo manyoni tayari nasubiria msimu wa mvua nianze kilimo cha korosho na alizeti
Nawaza jeshi letu la miaka ijayo sijui litakuwaje... Kama makamanda wanaingia Kwa connection na rushwa... Yaan unaingia Kwa rushwa totally maisha yako Yote ya ukamanda utakuwa mtu wa kuhonga tu... Na ndo dharau na heshima itapungua jeshini yaan Ile yaku respect mkubwa alokuzidi cheo kwa kujua kwamba na ww una mkubwa unamfahamuWapo wanaowaambia wazazi wao kuhusu pesa inafikia hatua mzazi anakata eneo linauzwa kijana anachukua mil 3 anapeleka kwa anaemjua pesa inaenda
nimekusoma afsa. kabla sijafanya jambo natanguliza research so mbanga yangu bahati mbaya imestafu, ila ina access ya makao makuu kuwa contact alifaiti mpaka point ya mwisho akijua ameshinda, later on nimechomolewa unafikiri shida nn kma sio mgao??Wapo wanaowaambia wazazi wao kuhusu pesa inafikia hatua mzazi anakata eneo linauzwa kijana anachukua mil 3 anapeleka kwa anaemjua pesa inaenda
Ni hatar sanaNawaza jeshi letu la miaka ijayo sijui litakuwaje... Kama makamanda wanaingia Kwa connection na rushwa... Yaan unaingia Kwa rushwa totally maisha yako Yote ya ukamanda utakuwa mtu wa kuhonga tu... Na ndo dharau na heshima itapungua jeshini yaan Ile yaku respect mkubwa alokuzidi cheo kwa kujua kwamba na ww una mkubwa unamfahamu
Utasubir sanaIpo hivi kupambana na usaili tu na kutuma maombi ni jitihada tosha na Mungu anakuona kuwa na imani thabit unatoboa huo mbuyu ni ziada tu utahonga hata mil 5 na ikaliwa na usifikie ulipotamani kufika
yuko mzigoni mkuu
Niliandika barua chief lkn sikupigiwa simu mpaka leo...nahisi ni umri kusogea kidogo...kwahyo ni ndoige nyingine hiiluteni ahsante sna, vp MT huko umefikia wapi?
Hyo hela ni nyingi ku afford sio mchezoNdio amepata
Inakuaje akatoa hiyo pesa,alafu akarudishwa kwa unfit ya mchongo au ya kweli kabisa it's very risky!Hyo hela ni nyingi ku afford sio mchezo
higher risk the higher profitsInakuaje akatoa hiyo pesa,alafu akarudishwa kwa unfit ya mchongo au ya kweli kabisa it's very risky!
mtiti mkuuHyo hela ni nyingi ku afford sio mchezo
tujaribu upande mwingineNiliandika barua chief lkn sikupigiwa simu mpaka leo...nahisi ni umri kusogea kidogo...kwahyo ni ndoige nyingine hii