Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kwa ushauri wangu msitoe milion 2 au 3 kisa usaidiwe kupata ajira hiyo pesa ni zaid ya kubet kama unefanikiwa kupata hiyo pesa kaa chini tuliza kichwa anza biashara kidogo kidogo utafika pale unataka kufika, unapenda majeshi tuma maombi mlilie Mungu wako kama ni yako ni yako tu uwezo wa Mungu ni mkubwa kuliko hiyo mibanga mnayoitegemea naongea haya nikishuudia mbele ya Mwenyezi Mungu nina ushahid binafsi mpaka kesho nasema Allah akipanga hakuna wa kupangua huko JW mnaposema ni pagumu kama Mungu kakupangia ni kwepesi kama kunywa glass ya maji.
 
Usiseme hivo..Mungu umsaidia anayetia juhudi kutafuta pia Mungu umwongezea alie na kingi na kumyanganya mwenye kidogo na asietia bidii kukiongeza..
Ushauri wangu Kama unauwezo wa kupata mbanga itumie haswa maana n Jambo la kujiongeza na kutia juhudi maana ukisema uapply alaf upige magoti tu na kusali utakosa sana na utakua unalalamika kila siku Kama kupata utapata kwa bahati..
Pambania nafasi uku unasali Ila usiapply na kukaa tu kwamba Sala itapata kazi...
Pray and work

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
ka lekisaba kangu,wame dump haloo. sema kwa mtoto wa kapuku kupata 3m ni mtiti sana , nipo manyoni tayari nasubiria msimu wa mvua nianze kilimo cha korosho na alizeti
 
Ipo hivi kupambana na usaili tu na kutuma maombi ni jitihada tosha na Mungu anakuona kuwa na imani thabit unatoboa huo mbuyu ni ziada tu utahonga hata mil 5 na ikaliwa na usifikie ulipotamani kufika
 
ka lekisaba kangu,wame dump haloo. sema kwa mtoto wa kapuku kupata 3m ni mtiti sana , nipo manyoni tayari nasubiria msimu wa mvua nianze kilimo cha korosho na alizeti
Wapo wanaowaambia wazazi wao kuhusu pesa inafikia hatua mzazi anakata eneo linauzwa kijana anachukua mil 3 anapeleka kwa anaemjua pesa inaenda
 
Nawaza jeshi letu la miaka ijayo sijui litakuwaje... Kama makamanda wanaingia Kwa connection na rushwa... Yaan unaingia Kwa rushwa totally maisha yako Yote ya ukamanda utakuwa mtu wa kuhonga tu... Na ndo dharau na heshima itapungua jeshini yaan Ile yaku respect mkubwa alokuzidi cheo kwa kujua kwamba na ww una mkubwa unamfahamu
 
nimekusoma afsa. kabla sijafanya jambo natanguliza research so mbanga yangu bahati mbaya imestafu, ila ina access ya makao makuu kuwa contact alifaiti mpaka point ya mwisho akijua ameshinda, later on nimechomolewa unafikiri shida nn kma sio mgao??

na ndio mana wanasema rushwa adui wa haki, Kusudi la MUNGu kwenye hivi vyombo limevunjwa hutoboi ukiingia mkavu, hili nakuhakikishia. kma wewe ulipata bila connection ujue ulingia kwa fani zenye priority, ama ulingia kabla ya 2015
 
na kibaya zaidi wakuu TZ inazalisha 1million graduates per year, wanaopata ajira rasmi awazidi buku teni, je hawa laki9+ wanaenda wapi? hii ni kwa mujibu wa NBS na bungeni juzi. kila polisi ama mtumishi anaweza kuwa na ndugu watatu wasio na ajira, mpaka zikufikie ndugu yangu wa manyoni na kabanga ni mtiti.
 
Nawaza jeshi letu la miaka ijayo sijui litakuwaje... Kama makamanda wanaingia Kwa connection na rushwa... Yaan unaingia Kwa rushwa totally maisha yako Yote ya ukamanda utakuwa mtu wa kuhonga tu... Na ndo dharau na heshima itapungua jeshini yaan Ile yaku respect mkubwa alokuzidi cheo kwa kujua kwamba na ww una mkubwa unamfahamu
Ni hatar sana
 
Watu Wana watu wao ndio, wengine tuna MUNGU wetu tu na Imani yetu, watu wako kwenye system na wanaiamini system sisi tuna System yetu ambayo ni MUNGU, Kuna kusudi na lengo la kila mtu kabla hata hujazaliwa, Kama kusudi la MUNGU nikukufanya uwe mmoja ktk vyombo vya usalama usiwaze Wala usi hofu kwakua MUNGU Aatakufanyia wepesi Kingine hongo MUNGU hapendi ukionga tayari umemtoa MUNGU na umemtegemea mwanadamu (OLE WAKE AMTEGEMEAE MWANADAMU MWWENZIE AMBAE AMEMFANYA KINGA YAKE KTK MAISHA YAKE MAANA BATAONA MEMA YAJAPO).

Na ifahamike hivi kama umepata mafanikio yoyote kwa kuvunja utaratibu wa MUNGU na amri zake basi jua SI Yeye kakupa na ukikosa usimlaumu MUNGU kwakua Toka mwanzo huku mwamini na uka zitumaini akili zako na nguvu zako, We fanya yakupasayo kufanya bila kumkosea Muumba wako na muombe akusaidie, niaminini Mimi MUNGU hawezi kuku sahau ili uangamie kamwe, na Siku zote MUNGU hutupa tunachositahili, na kwa MUNGU hata HAPANA ni jibu pia siyo NDIYO TU.

Muhimu tusimame na Mungu nae atatupa neema yake tutapata tu.
 
Back
Top Bottom