methodinho
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 489
- 549
Ni sahihi mkuutujaribu upande mwingine
PT wameanza kupiga simu kuanzia Leo asubuhi
Relax bro, tumeenda JKT so tupende kuwa wadadisi Wa mambo kwanza kabla ya ku'conclude.Simu ya nin mkuuu,fafanua kidogo.
Toa ufafanuzi simu zinazopigwa ni za nini mkuu?PT wameanza kupiga simu kuanzia Leo asubuhi
Mwaka jana hakukuwa na.pdf?Sema hii ya simu inaweza kuwa kwel maana kuna jamaa alipata mwaka Jana alisema wao walipigiwa simu kimya kimya wakaripot mafunzo yeye alikuwa degree holder so kwa maana iyo hakukuwa na pdf apo ndio sijajua
Huyo aliyepigiwa simu ana maelekezo huyo ...Sema hii ya simu inaweza kuwa kwel maana kuna jamaa alipata mwaka Jana alisema wao walipigiwa simu kimya kimya wakaripot mafunzo yeye alikuwa degree holder so kwa maana iyo hakukuwa na pdf apo ndio sijajua
PDF ni muhimuHuyo aliyepigiwa simu ana maelekezo huyo ...
Upo chombo gani kamanda??Hujanijua vizur mzee ngoja nikupe ushuhuda kidogo tulikuwa na hizi hustle toka 2015 kiufupi ni op kikwete na intk 38, na hii hii jamii ndio ilinipa hamasa ya majeshi before nasoma sikuwa nawazo kuhusu majeshi nilikuwa na mwanangu Peter na Allen hii jamii ilitufanya kama ndugu mimi na Peter ilifikia hatua tukawa tunatembeleana kupitia jamii tulikuwa ndugu kabisa na ndipo wazo la majeshi likaja tulianzisha uzi wetu humu wa kupeana ronja mbali mbali wilaya zipi zinakuwa na nyomi la watu zipi zina afadhali ya watu tukaichagua kibaha safari yetu ikaanzia hapo nasikitika baada ya kuapa jkt rafiki yangu ndugu yangu Peter Marcelo alifariki dunia kwa maradhi tu ilinipa msongo sana wa mawazo lakin nilimshukuru sana Mungu kiufupi mpaka sasa wengine sitakutajia kwa majeshi mengine maana hata jamii hawapo ila kuna wadau wa 3 wapo humu jamii na wanapitia huu uzi sana wameingia PT bogi lililopita kutokea uraiani wamepitia kwenye mikono yangu walikuwa wakiishi dar na wote hawakuingilia dar na si kwa kuhonga hata cent 1 bali kuwaelekeza njia zipi watumie kutuma maombi na kufanya usaili mikoa ipi na mahali gani kisha wabaki na kumuomba Mungu wao usiku na mchana kingine ukiingia chomboni ishi na watu vizuri ishi na wakubwa wako vizuri Prvt anaweza kukusaidia wewe kuingia kwenye chombo kuliko hata mkubwa unayemtegemia kosa mnalofanya ni kutanguliza pesa mbele mnahisi pesa ndio kila kitu kosa kubwa sana, hustle nilizopitia zimenifunza vingi nimeifupisha tu hii story mzee ila msitangulize hongo na mwenye nia ya kukusaidia mtoto wa maskini hakuombi pesa KAMWE.
Ameshasema ni intake ya 38, means ni Mjeshi huyo.Upo chombo gani kamanda??
Hahah! Unachekesha wewe, a soldier apokee 550k? Private wa anapokea 750k haya jumlisha na marupurupu mengine!Private wa kule take home yao haizid 550k,then jumlisha na hizo posho posho,tena wao ration ya chakula 300k wanalipa yote kwa mzabuni cash....
Isipokua wale wana posho za pango,maji,umeme
Then hawana bima ambayo kwa wizara ya ndani ni free(ya utumishi unaongeza wategemezi) ila kwa kule naskia wana fomu zao special sjui za matibabu japo sijazijua vizuri
MIMI NAELEWA HIVYO
SawaHahah! Unachekesha wewe, a soldier apokee 550k? Private wa anapokea 750k haya jumlisha na marupurupu mengine!
Sio kweliNAANDIKA KWA HERUFI KUBWA NAOMBQ KUULIZA WAKYU WITE HUMU
NASKIA RONJA KWA WENYE VYETI VYA MUJIBU WA SHERIA HAWATAKIWI PT WAMETEMWA JE NI KWELI??? HASA KWA WALOOMBEA FORM FOUR???? NAOMBA KUWASILISHA
Daaaah Afadhali unanipa moyo ndugu maana niliombea Mujibu wa Sheria JKT form four Certificate nikafamya usaili hadi mwisho kwa mkuu wa Mkoa. Kuna jamaa kanitisha hapa ndomana nimeuliza
Sasa yeye kajuaje Kama mujibu wametemwa wakati mkeke bado...Daaaah Afadhali unanipa moyo ndugu maana niliombea Mujibu wa Sheria JKT form four Certificate nikafamya usaili hadi mwisho kwa mkuu wa Mkoa. Kuna jamaa kanitisha hapa ndomana nimeuliza
Mkuu hii nakubaliana na wewe kabisa kwa degree inakuwa ngumu sana sjui kwa ninidegree holders kama hauna mjomba huko juu, jipange na 3m otherwise vyombo vya ulinz utavisikia redio free ama UFM. kuna siri nzito sna huko juu
Wanakwambia Mungu umsaidia ambaye atajisaidia[emoji3] sio kubweteka tuuKwa ushauri wangu msitoe milion 2 au 3 kisa usaidiwe kupata ajira hiyo pesa ni zaid ya kubet kama unefanikiwa kupata hiyo pesa kaa chini tuliza kichwa anza biashara kidogo kidogo utafika pale unataka kufika, unapenda majeshi tuma maombi mlilie Mungu wako kama ni yako ni yako tu uwezo wa Mungu ni mkubwa kuliko hiyo mibanga mnayoitegemea naongea haya nikishuudia mbele ya Mwenyezi Mungu nina ushahid binafsi mpaka kesho nasema Allah akipanga hakuna wa kupangua huko JW mnaposema ni pagumu kama Mungu kakupangia ni kwepesi kama kunywa glass ya maji.