Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hilo naelewa mkuu lakini nikuulize wewe vitani kwenye kombania wanajeshi wanaopigana vita wengi huwa wana vyeo gani
Cc tumesemea leader... Cyo eti ma officer wote ndo wataenda ni leader tu... Soldiers ndo kama wote
 
Mkuu nawafahamu hadi kina Luteni Rajab Mlima, naye alikuwa komandoo alifia huko Congo kwenye kulinda Amani, ila nimeuliza tu wengi wanaopigana vita kwenye kombania huwa ni wanajeshi wa vyeo gani
Yaan Tz pangekuwa na vita ndo tungewaona huo watu wa connection kama wangeleta kiherehere kama walichonacho sasaiv hahahaha
 
NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA NAOMBQ KUULIZA WAKYU WITE HUMU
NASKIA RONJA KWA WENYE VYETI VYA MUJIBU WA SHERIA HAWATAKIWI PT WAMETEMWA JE NI KWELI??? HASA KWA WALOOMBEA FORM FOUR???? NAOMBA KUWASILISHA
Mkoa wa Mbeya usaili wa magereza mujibu wa sheria wote wametolewa yani hawakuruhusiwa kufanya usaili
 
Mkuu hayo ya kwamba officers ndio leaders yanajulikana maana captain ndio huwa kiongozi wa company, lakini wao ni wapiganishaji tu ukiongelea wapiganaji asilimia kubwa huwa ni ma sergeant, corporal na private sasa ndio point yangu hapo awali ilikuwa jeshi linahitaji wapiganaji wengi zaidi kuliko hao viongozi
Uko sahihi
 
Ndio asakari lazma wawe wengi sana...
Na pia Kuna ishu ya ku hide idadi ya askari wanaoingia Kwasababu za kiulinzi... Nadhani inaweza kuwa pia sababu yaku wasajili vijana makambini jw kimya kimya mpaka wa uraiani kupata lonja... Isipokuwa tu kundi maalum kama engineers na doctors maana hawa hawapo kwa idadi inayo kidhi kwenye Kambi za jkt
 
Watu washaanza kurud huko unfit
 
Fact Haina haja ya kutoa m3 Kwa ajil yakupata Kaz kweny majesh na wakat hyo M3 n mtaj Tosha Kwa kijana aliyemaliza chuo
Hyo M3 Bora ukakod mashamba huko rufiji ulime
Kwa ushauri wangu msitoe milion 2 au 3 kisa usaidiwe kupata ajira hiyo pesa ni zaid ya kubet kama unefanikiwa kupata hiyo pesa kaa chini tuliza kichwa anza biashara kidogo kidogo utafika pale unataka kufika, unapenda majeshi tuma maombi mlilie Mungu wako kama ni yako ni yako tu uwezo wa Mungu ni mkubwa kuliko hiyo mibanga mnayoitegemea naongea haya nikishuudia mbele ya Mwenyezi Mungu nina ushahid binafsi mpaka kesho nasema Allah akipanga hakuna wa kupangua huko JW mnaposema ni pagumu kama Mungu kakupangia ni kwepesi kama kunywa glass ya maji.
Fact mkuu hyo M3 ni kubunda tosha Kwa kijana aliye maliza chuo kama mtaj
Bora hyo M3 ukakod mashamba huko rufij ulime nyanya au ufuta aluf utajirike tu
Au uje huku unyamaan kwenye forex na crypto
 
Samahani naomba kujua kama kuna mtu ashawahi kupeleka maombi garda wanahitaji vitu gani vya kuambatanisha nataka kupeleka maombi pale maana nipo mbali natamani nipeleke viwe vimekamilika asanteni
 
Fact Haina haja ya kutoa m3 Kwa ajil yakupata Kaz kweny majesh na wakat hyo M3 n mtaj Tosha Kwa kijana aliyemaliza chuo
Hyo M3 Bora ukakod mashamba huko rufiji ulime

Fact mkuu hyo M3 ni kubunda tosha Kwa kijana aliye maliza chuo kama mtaj
Bora hyo M3 ukakod mashamba huko rufij ulime nyanya au ufuta aluf utajirike tu
Au uje huku unyamaan kwenye forex na crypto
Nina jamaa yangu yy ndoto yake muda mrefu ilikuw kuingia jeshini. Kamaliza Masters yake karibuni. Kajipeleka kuomba nafasi kuingia huko jeshini. Anasubiri kuingia course maana proffession yake muhimu
 
MT wametaka form four. Kama ni mujibu bila shaka ni form 6. Hivyo wamewakata kwa kigezo hicho.
Sidhani kama ni kote

Haya majeshi saa nyingine yanajifanyia maamuzi tu

Kuna mkoa walifanya usaili walivyoona wamechoka wakaanza kuwaondoa mujibu na wale wenye div 1 Hadi 3 mujibu+ kujitolea

Wakati huo kuna mujibu washafanya usaili
 
UT cjui nakwama wapi nimeshaomba mara ya pili saivi lakini napigwa za mbavu ata usaili sijaitwa kikubwa nilichokiona hapa nikitafta Connection mapema zikitoka tena kuishi nazo kitaalam tunachange formation kama ilikua 4-4-2 saiv n 4-3-2-1 ili mradi mzigo ufike ata kama punda akifa sawa tu [emoji23]
 
Back
Top Bottom