Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah! We acha tu, yani asubuhi mapema kabisa jamaa wakatoa tangazo kuwa kama wewe una cheti cha mujbu wa sheria huu usaili haukuhusu kwa hiyo toka nje![emoji3]daah sasa wameitiwa wa nini
Kuna sehemu nyengine utakuta wamefanya
Nilipoenda kwenye usahili wao,nimegundua magereza Wana jiamulia tu wanavyotaka,kabla ya kuanza usahili wanakaa na kujadili wakitoka hapo ni tamko tu,Sasa kwanin hawakuchambua mapema na kuwatoa wasiowataka? Nikagundua hawapo staticHahah! We acha tu, yani asubuhi mapema kabisa jamaa wakatoa tangazo kuwa kama wewe una cheti cha mujbu wa sheria huu usaili haukuhusu kwa hiyo toka nje
Mwanangu Investo me nilivoona vile pia nkawa mwanzo nilivpingia nkatoka safari home hakuna haki maamuzi ya mtu mmoja serikali iliangalie hili najua mpo humuNilipoenda kwenye usahili wao,nimegundua magereza Wana jiamulia tu wanavyotaka,kabla ya kuanza usahili wanakaa na kujadili wakitoka hapo ni tamko tu,Sasa kwanin hawakuchambua mapema na kuwatoa wasiowataka? Nikagundua hawapo static
Wapi hiyo kaka?Hahah! We acha tu, yani asubuhi mapema kabisa jamaa wakatoa tangazo kuwa kama wewe una cheti cha mujbu wa sheria huu usaili haukuhusu kwa hiyo toka nje!
ronja au ndo taarifaPT kesho wanatoa pdf (Confirmed).
PT kama ulikuwa unaomba tu pekee baada ya kufanya Usaili utakuwa unajiumiza kusubiria PDF, Lakini walioomba kusali huku wakipambana Kwa njia nyingine ya ziada wataweza kutoboa PDF.PT kesho wanatoa pdf (Confirmed).
Confirmed mkuu.ronja au ndo taarifa
Saa ngapi.Confirmed mkuu
Asubhi na mapema kamandaa.Saa ngapi.
Ameen! Tutakuwepo ! Yupo Mungu tunae muaminiPT kama ulikuwa unaomba tu pekee baada ya kufanya Usaili utakuwa unajiumiza kusubiria PDF, Lakini walioomba kusali huku wakipambana Kwa njia nyingine ya ziada wataweza kutoboa PDF.
Tanzania ni nchi kubwa sana, kozi uliyosoma wewe Kuna wengine wengi wamesoma tena wana-Connection kubwa na watu wakubwa zaidi yako.
Next time tukitaka hizi nafasi tujiongeze tuwe na PLAN B sio kukaa tu Home/ Kitaa kusubiria hizi Post, haijalishi KOZI gani ulisoma chuo.
Nakazia hapa umenena vyema, kama huna Connection na ukitegemea Makubwa utajiumiza sana after PDF.Confirmed mkuu.
Muhimu kama huna connection usiwe na mategemeo makubwa ya kupata.
Unahimiza vijana wapite kwa ubadhirifu?PT kama ulikuwa unaomba tu pekee baada ya kufanya Usaili utakuwa unajiumiza kusubiria PDF, Lakini walioomba kusali huku wakipambana Kwa njia nyingine ya ziada wataweza kutoboa PDF.
Tanzania ni nchi kubwa sana, kozi uliyosoma wewe Kuna wengine wengi wamesoma tena wana-Connection kubwa na watu wakubwa zaidi yako.
Next time tukitaka hizi nafasi tujiongeze tuwe na PLAN B sio kukaa tu Home/ Kitaa kusubiria hizi Post, haijalishi KOZI gani ulisoma chuo.
Hata Alie na connection anamtegemea mungu na anasababu ya ziada, maisha ya Dunia Mungu ameyatengenezea kanuni maalumu ukifuata utafanikiwa usipofuata utafeli, no matter what.Ameen! Tutakuwepo ! Yupo Mungu tunae muamini