Target yao kabisa nikupata vijana Kwa form four div 1,2,3 na 4 mwisho ya 27
Issue ya GPA naamini Kwa wenye fani maana kamishna wa znz alisema kwamba Wanataka ku change jeshi la pt kuwa na watu bright kama walivyoweza na wanavyoendelea kuweza JW.
Yaani huwa zinatokea fursa za watu kwenda kusoma hawawapati yaan wanakuwa hawana sifa na wenye sifa hawako interested.
Saili hata za kundi maalum last time la doctors na engineers waliangalia pia gpa yaan mwisho ilikuwa 3.0 hiyo ndo gpa inayomuwezesha mtu kuendelea na level nyengine ya elimu.
Hivyo ndo vilikuwa vigezo na kamishna wa znz anasema imeandikwa pia kwenye sheria ndogo juu ya usaili huu
Sasa tatizo linakuja Kwa issue za connection watu na ndugu zao ndo Huwa wanaharibu na kuweka ugumu kwenye haya mambo.
Na kama ukifanyiwa connection naku shauri bac uwe na shida zote izo kama huna ccp inaweza kwenda kuwa na changamoto kwako na iyo nafasi ukawaachia maafande waipige