Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nilio skia kuhus MT naskia kua watasogeza siku mbele kwajili yakufny usaili vizuri mana mujibu walikua hawaitajiki kwenye usaili ivyo basi wataangalia namn gani yakufny kwaiy kama mtu ulikosa ebu anza kufatilia upya mana nafasi bado zipo wazi Japo nimeskia kama wew ni mujibu ila una refa mzuri unaend tuuh but kikubwa mujibu hawaitajik pia ata wale div 1,2 na 3 pia wengn wanapigwa chini tuombe Mungu sana wapendwa now hakuna kitu chepesi
Hahah yani haya masuala hayana formular, mara watake wataalamu, mara watake ngumbaru, mara hivi mara vile [emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani kama Mungu hajakujaalia kuwa kwenye majeshi, aiseeh ni ngumu kutoboa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Target yao kabisa nikupata vijana Kwa form four div 1,2,3 na 4 mwisho ya 27
Issue ya GPA naamini Kwa wenye fani maana kamishna wa znz alisema kwamba
Wanataka ku change jeshi la pt kuwa na watu bright kama walivyoweza na wanavyoendelea kuweza jw
Yaan Huwa zinatokea fursa za watu kwenda kusoma hawawapati yaan wanakuwa hawana sifa na wenye sifa hawako interested

Saili hata za kundi maalum last time la doctors na engineers waliangalia pia gpa yaan mwisho ilikuwa 3.0 hiyo ndo gpa inayomuwezesha mtu kuendelea na level nyengine ya elimu

Hivyo ndo vilikuwa vigezo na kamishna wa znz anasema imeandikwa pia kwenye sheria ndogo juu ya usaili huu
Sasa tatizo linakuja Kwa issue za connection watu na ndugu zao ndo Huwa wanaharibu na kuweka ugumu kwenye haya mambo
Na kama ukifanyiwa connection naku shauri bac uwe na shida zote izo kama huna ccp inaweza kwenda kuwa na changamoto kwako na iyo nafasi ukawaachia maafande waipige
Minimum GPA Ya kuendelea na elimu ya masters ni 2.7GPA UP TO 5GPA.NA 2.7GPA IKO CLASS MOJA NA 3.0.GPA.zote ni lowe second class. Ko ukisema GPA ni 3.0 nAshindwa kuelewa kwakigezo kipi waanzie 3.0GOA TU?

UNGESEMA 3.5GPA ni gejua wanachukua upper second class, clarified
NA
 
Hahah yani haya masuala hayana formular, mara watake wataalamu, mara watake ngumbaru, mara hivi mara vile [emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani kama Mungu hajakujaalia kuwa kwenye majeshi, aiseeh ni ngumu kutoboa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wakitaka wataalamu wataindicate fani kama walivyotoa polisi. Kwa hiyo tusiforce tu mambo huko tukubaliane na mahitaj yao huku tukipambana na mishe zingine
 
Minimum GPA Ya kuendelea na elimu ya masters ni 2.7GPA UP TO 5GPA.NA 2.7GPA IKO CLASS MOJA NA 3.0.GPA.zote ni lowe second class. Ko ukisema GPA ni 3.0 nAshindwa kuelewa kwakigezo kipi waanzie 3.0GOA TU?

UNGESEMA 3.5GPA ni gejua wanachukua upper second class, clarified
NA
Ukweli ni kwamba kwa fani ukiwa na GPA, vigezo vyote unavyo, paper yao umefanya vizur utachukuliwa tu. Kujifariji ety kuwa GPA haiangaliwi ni kujipa moyo kwenye kitu ambacho hakipo.
 
Ukweli ni kwamba kwa fani ukiwa na GPA, vigezo vyote unavyo, paper yao umefanya vizur utachukuliwa tu. Kujifariji ety kuwa GPA haiangaliwi ni kujipa moyo kwenye kitu ambacho hakipo.
GPA tu! sio kigezo cha kuchukua watu hata kwenye usahili wowote! Pia majeshi hayanaga hizo mambo ya ufaulu wa darasani sana ! As long as umekizi vigezo unayo nafasi! Msipene ronja zisizo na msingi
 
Haya yote sio muhimu...muda ukifika watatoa tu achen kujipa pressure zisizo na msingi
Police Tanzania wana website na taarifa zao zote zinapatikana kule....ila tushazoea kupeana mbili tatu za hapa na pale, mbivu na mbichi, za kweli na uongo hapa jamiiforum kiongozi wangu, so sio kwamba twajipa pressure tunajua fika kwenye the so called lonja sio zote ni za kweli na tunajua taarifa ya hakika ni ya website ya police Tanzania...

Wala hatujipi pressure maana tunajua kwenye lonja utaskia mengi sana na binafsi nimeanza ku comment kwenye huu uzi tuseme wiki Jana koz majeshi nayajua vizuri haswa!

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
My point is mtu anapotoa lonja na isikamilike basi msimuattack maana anything can change
 
Back
Top Bottom