Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Matusi ya nn
Refrain from abuse Lg
Jenga hoja za msingi .
Huko kuna watu wamesoma pia
Nyie mnatafta kuweni na roho za utaftaji
Sasa ulitaka nitumie lugha ipi ? , Unajua effects za hao wapumbavu kucorrupt mfumo wa ajira nchi hii kwa rushwa na upendeleo katika mfumo wa ajira ? Au na wewe ni mnufaika wa huo mfumo ovu ?
Nonesense
 
Ikiwa hivyo ni heri maana furaha yetu wote wapate sema ndio hivyo sometimes nature tu ndio hairuhusu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…