mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
daah sio poa luteni kanali, nakumbuka nilisema hapa kuwa safari hii nimejipanga nje ndaniMkuu hapa unamuonea mfwende mpina mbona mshkaji alikuwa wazi sana toka mwanzo na aliwahi kili ana mbanga shida. Tuna matumizi mabaya sana ya neno "unafiki"...
Wazi kabisa mkuudaah sio poa luteni kanali, nakumbuka nilisema hapa kuwa safari hii nimejipanga nje ndani
wazi afandeWazi kabisa mkuu
hata wewe naweza kukuita kepteniLeten kanali tena[emoji16]
Hahaha...hata wewe naweza kukuita kepteni
Yaaan mi nikiona mtu kajiunga jaza au juzi then anakuja anasema mara kaiona PDF mara sijui majina yanatoka kesho naonaga ndo kina yahaya tuu[emoji2][emoji2][emoji2]...jichanganye sasa wavenezuela Wapite na weweEm tushone tusubir PDF!!! mambo yasiwe mengi Mara nimeyachungulia Mara nn[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Narudia kusema wana jf,,,hizo username za watu humu zioneni hivyo hivyo,usimchukulie mtu poa kisa amejiunga jana,watu wanabadili username kila kukicha ili msiwaelewe...Yaaan mi nikiona mtu kajiunga jaza au juzi then anakuja anasema mara kaiona PDF mara sijui majina yanatoka kesho naonaga ndo kina yahaya tuu[emoji2][emoji2][emoji2]...jichanganye sasa wavenezuela Wapite na wewe
Ko una suggest / unataka kumaanisha nini...kwamba yawezekana jamaa kaona kweli au...Narudia kusema wana jf,,,hizo username za watu humu zioneni hivyo hivyo,usimchukulie mtu poa kisa amejiunga jana,watu wanabadili username kila kukicha ili msiwaelewe...
Join JF January 2023 hahahaaa....sawaNarudia kusema wana jf,,,hizo username za watu humu zioneni hivyo hivyo,usimchukulie mtu poa kisa amejiunga jana,watu wanabadili username kila kukicha ili msiwaelewe...
Hapa Nina kazia,Narudia kusema wana jf,,,hizo username za watu humu zioneni hivyo hivyo,usimchukulie mtu poa kisa amejiunga jana,watu wanabadili username kila kukicha ili msiwaelewe...
Vijana hizo join lini sijui zisikutishe pengine ni mwenyeji kuliko wewe humu.Join JF January 2023 hahahaaa....sawa
Kwan mtu akijoin january braza ina affect vip ukweli wa taarifa zake...mbona huna logic kbsaaJoin JF January 2023 hahahaaa....sawa
Hahahaaa sawa mkubwa nimeelewa logic yakoKwan mtu akijoin january braza ina affect vip ukweli wa taarifa zake...mbona huna logic kbsaa
Binafsi nawashangaa sana hawa wanaokomaa na hizi mambo ya join lini sijui.. mtu anaweza akawa anaview tu hajaregister jf kwa muda mrefu ila akaamua tu kuingia karibuni. Kuna mtu afisa mkubwa alikuw anaview tu na akaja kuingia na kucomment kwenye huu uzi kuhusu kitu fulan...hizi IDs wengine msichukulie poa . Ingawa ni kweli umakin unahitajika piaKwan mtu akijoin january braza ina affect vip ukweli wa taarifa zake...mbona huna logic kbsaa
Bora umesema wewe...Vijana hizo join lini sijui zisikutishe pengine ni mwenyeji kuliko wewe humu.
Mimi Nina account zaidi ya tatu. Kila jukwaa Ninalog in Kwa account yake.
Sahihi kabisa,nina data za watu waliopoga usahili ufundi na tehama...ila watu waendelee kusubiri pdf bila kuwa na matarajio makubwaHapa Nina kazia,
Vijana mnapoona username mpya sio eti ni waheni humu jf ni namna ya kunyumbulika kutokana na muktadha tu.
Ila kuhusu pdf vijana msiwe na pressure majina ya polisi tayari yameshapangwa kinachosubiriwa ni kupost tu Sasa acheni mteru vijana.
Kutokana na experience ninawashauri musiwe na mategemeo makubwa ili muweze kuyapokea matokeo yeyote kwani watakao achwa ni wengi zaidi kuliko watakaoenda CCP. All the best kamandaa.