Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Fanya mpango uende nje nchi kama Marekani au Ukraine au Russia jeshi chap kule kazi hizi watu hawazimind
 
Fanya mpango uende nje nchi kama Marekani au Ukraine au Russia jeshi chap kule kazi hizi watu hawazimind
Sina nauli tuu ningeshaenda huko tena mda. Maana kama kupambana kote ili kuzama jeshini mwishowe unaonekana boya tuu na huna maana hapa nyumbani hapa, si mtu angeenda nje tuu kiroho safi.
 
Tafuta connection mkuu nafasi zipo..
 
Jeshi lolote karne hii sifa ni mbanga.....
 
Sina nauli tuu ningeshaenda huko tena mda. Maana kama kupambana kote ili kuzama jeshini mwishowe unaonekana boya tuu na huna maana hapa nyumbani hapa, si mtu angeenda nje tuu kiroho safi.
Daaah usikate tamaa ila uwe unajaribu nq mishe nyingine, unaweza ukatoboa ukasahau majeshi Mimi nmehangaika sana nina Uzalendo sipendi ajira napenda kazi nitumikie naamjni maaka huu zamu yangu nasubiri PDF sema me Umri bado nina 24 nina nafasi bado
 
Daaah usikate tamaa ila uwe unajaribu nq mishe nyingine, unaweza ukatoboa ukasahau majeshi Mimi nmehangaika sana nina Uzalendo sipendi ajira napenda kazi nitumikie naamjni maaka huu zamu yangu nasubiri PDF sema me Umri bado nina 24 nina nafasi bado
Mungu akutangulie ndugu. Kila la kheri bado umri wako ni mdogo.
 
Mkuu njia rahisi cheza green card lottery ikitokea ukashinda pambana uende ukajiunge na jeshi la Marekani kule wanachukua hadi miaka 35, labda kama unataka kulitumikia jeshi la nchi yako tu ila Mtipidii mwisho miaka 28 haijalishi una level gani ya elimu, anyway tafuta connection lakini
 
Ahaaaah mkuu naomba maelekezo na mchanganuo wa gharama zake. Je ikitokea ukashinda, nauli wanakupatia ? Au tiketi ya pipa ?
 
Kuna kipindi walichukua madaktari Bingwa waliweka mwisho 35
 
Kuna rafik angu Ana 33 year degree uchumi,nimempambania ameingia jeshi flani japokua kigezo cha umri hana..
 
Ushauri unaweza kuwa mzuri lakini kwa alivyojieleza hata iyo hela kutosha kumfikisha USA atahustle sana.
 
Naona mambo mawili
1)unamtia moyo kuwa umri sio issue as long as una Nia ipo siku atapata anachohitaji
2) Venezuela,watu waje DM.
Kupanga ni kuchagua
[emoji16][emoji16][emoji16]mimi natoa tu ushuhuda kwamba haya mambo yanaeezekana hata awe na miaka 35....sifa mbanga

Nb:sitaki hata mtu aje dm mkuu wala sina hata hilo lengo
 
Now I'm believing being idle without anything which keep you busy ni mtihani kweli kweli....

Hizi ndio ajira nimeomba afu kila siku kila muda nawaza zitatoka lini, is like naingia jf Mara 30 kwa siku kuchungulia PDF

Na nimegindua hiyo yote ni kwasababu kwa sasa sina tena pale nilipokuwa nikijishkiza

Umri unasonga, majukumu, fear andstress and sometime depression....

Kwa ndugu zangu waislam kwa sasa naielewa sana hii aya

وَأَمَّا السَّائِلَ فَلَا تَنْهَرْ

Na anaye omba au kuuliza usimkaripie








Jamani mtu akikuomba hata kama kipo nje ya uwezo wako au kwa mizani yako unaona labda yeye ni mzembe mvivu hajiongezi hajutumi jaribu tu kumjibu kwa wema muelimishe ila usimkaripie au kumjibu vibaya.....people are suffering out there tunapitia mengi kwelikweli
 
Kweli mkuu mtaani mambo ni magumu mno kama uko idle tu aisee, Mwenyezi Mungu atutilie wepesi[emoji120]
 
kukata tamaa na qudra za mungu ni Dhambi....!

Kila mtu Ana rizk yake alioandikiwa na mungu katika huu ulimwengu,hata ikitokea mtu umekosa kazi majeshini amini kwamba haikua rizk yako,shukuru mungu endelea kupambana upande mwengine pamoja na kuomba mungu..

Kuna rafiki angu alienda magereza depo namba flani hivi akatolewa unfit, jamaa alichanganyikiwa lakin nikamcouncel akakaa sawa,yamungu mengi tamisemi wakatoa ajira jamaa akaomba,alikua na barchelor ya ualimu wa hesabu jamaa akapata tamisemi yupo kilimanjaro..


Kwahiyo,tusivunjike moyo wapambanaji,rikz zetu zipo tuu na wakati ukifika utapata tuu haiendi kwa mwengine wakuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…