Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya mpango uende nje nchi kama Marekani au Ukraine au Russia jeshi chap kule kazi hizi watu hawazimindDuuuuh nina miaka 31, ndoto yangu ni kuwa JWTZ elimu digri (hapa najuta kwa nini nilijichanganya kusoma tena umri ukaenda tena kusoma maana six nilizingua na ma E flat miaka ile ya 2013) ilitakiwa niende kule mapema sana kufanya kazi ninayoipenda ktk uso wa hii dunia.
Sasa Nafsi inanisuta kila siku kila mda inataka niwepo jeshini, taaluma yangu ni ya kiboya jeshi haliitaki ! Utumishi .... NGUMI AINA YA SUGUNYO (japo hata wangenipa kazi ningewakimbia badae na kupambania kurudi kwenye kazi niliyoandikiwa kuja kuifanya ya JWTZ) Umri umeshanitema ningeenda hata kujitolea nikabasti kozi tena (maana nilienda mujibu wa sheria) fani nzuri sina mamamamamaeeeeeh ! Mbuyu sina manina zangu .... Maisha haya nyoko sana, acha kabisa.
Oya Kwa hiyo siku moja nitakuja kufa bila kuwa askari wa JWTZ au [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] ? Yani siamini Hivi humu hamna wa kunishika mkono aiseeeh nikalivae baka walau nije kudedia kunako uwanja wa kivita nikipambania amani ya dunia hii ?
Sina nauli tuu ningeshaenda huko tena mda. Maana kama kupambana kote ili kuzama jeshini mwishowe unaonekana boya tuu na huna maana hapa nyumbani hapa, si mtu angeenda nje tuu kiroho safi.Fanya mpango uende nje nchi kama Marekani au Ukraine au Russia jeshi chap kule kazi hizi watu hawazimind
Tafuta connection mkuu nafasi zipo..Oya wanangu vipi kwenye usaili wa JWTZ na wenyewe wanahitaji kitu cha NIDA ili mtu aangalie utaratibu wa kupambania kombe kwa unaa mwingine kwa kuichekecha hiyo kitu au ikoje ?
Pesa ya kuwahonga makamanda wanipe nafasi nayo, SINA !
yani ni kama komandoo akiwa vitani, ameishiwa risasi na viazi (mabomu) sasa anatamani afanye UP achomoke hapo lakini hawezi kutokana na kwamba amezungukwa na adui zake wenye silaha nzito. Noma sana.
Jeshi lolote karne hii sifa ni mbanga.....Oya wanangu vipi kwenye usaili wa JWTZ na wenyewe wanahitaji kitu cha NIDA ili mtu aangalie utaratibu wa kupambania kombe kwa unaa mwingine kwa kuichekecha hiyo kitu au ikoje ?
Pesa ya kuwahonga makamanda wanipe nafasi nayo, SINA !
yani ni kama komandoo akiwa vitani, ameishiwa risasi na viazi (mabomu) sasa anatamani afanye UP achomoke hapo lakini hawezi kutokana na kwamba amezungukwa na adui zake wenye silaha nzito. Noma sana.
Daaah usikate tamaa ila uwe unajaribu nq mishe nyingine, unaweza ukatoboa ukasahau majeshi Mimi nmehangaika sana nina Uzalendo sipendi ajira napenda kazi nitumikie naamjni maaka huu zamu yangu nasubiri PDF sema me Umri bado nina 24 nina nafasi badoSina nauli tuu ningeshaenda huko tena mda. Maana kama kupambana kote ili kuzama jeshini mwishowe unaonekana boya tuu na huna maana hapa nyumbani hapa, si mtu angeenda nje tuu kiroho safi.
Mungu akutangulie ndugu. Kila la kheri bado umri wako ni mdogo.Daaah usikate tamaa ila uwe unajaribu nq mishe nyingine, unaweza ukatoboa ukasahau majeshi Mimi nmehangaika sana nina Uzalendo sipendi ajira napenda kazi nitumikie naamjni maaka huu zamu yangu nasubiri PDF sema me Umri bado nina 24 nina nafasi bado
50 kila taaluma au kila kikosi?50 kila sehemu...tusubirieni PDF wazee
Mkuu njia rahisi cheza green card lottery ikitokea ukashinda pambana uende ukajiunge na jeshi la Marekani kule wanachukua hadi miaka 35, labda kama unataka kulitumikia jeshi la nchi yako tu ila Mtipidii mwisho miaka 28 haijalishi una level gani ya elimu, anyway tafuta connection lakiniDuuuuh nina miaka 31, ndoto yangu ni kuwa JWTZ elimu digri (hapa najuta kwa nini nilijichanganya kusoma tena umri ukaenda tena kusoma maana six nilizingua na ma E flat miaka ile ya 2013) ilitakiwa niende kule mapema sana kufanya kazi ninayoipenda ktk uso wa hii dunia.
Sasa Nafsi inanisuta kila siku kila mda inataka niwepo jeshini, taaluma yangu ni ya kiboya jeshi haliitaki ! Utumishi .... NGUMI AINA YA SUGUNYO (japo hata wangenipa kazi ningewakimbia badae na kupambania kurudi kwenye kazi niliyoandikiwa kuja kuifanya ya JWTZ) Umri umeshanitema ningeenda hata kujitolea nikabasti kozi tena (maana nilienda mujibu wa sheria) fani nzuri sina mamamamamaeeeeeh ! Mbuyu sina manina zangu .... Maisha haya nyoko sana, acha kabisa.
Oya Kwa hiyo siku moja nitakuja kufa bila kuwa askari wa JWTZ au [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] ? Yani siamini Hivi humu hamna wa kunishika mkono aiseeeh nikalivae baka walau nije kudedia kunako uwanja wa kivita nikipambania amani ya dunia hii ?
Ahaaaah mkuu naomba maelekezo na mchanganuo wa gharama zake. Je ikitokea ukashinda, nauli wanakupatia ? Au tiketi ya pipa ?Mkuu njia rahisi cheza green card lottery ikitokea ukashinda pambana uende ukajiunge na jeshi la Marekani kule wanachukua hadi miaka 35, labda kama unataka kulitumikia jeshi la nchi yako tu ila Mtipidii mwisho miaka 28 haijalishi una level gani ya elimu, anyway tafuta connection lakini
Kuna kipindi walichukua madaktari Bingwa waliweka mwisho 35Mkuu njia rahisi cheza green card lottery ikitokea ukashinda pambana uende ukajiunge na jeshi la Marekani kule wanachukua hadi miaka 35, labda kama unataka kulitumikia jeshi la nchi yako tu ila Mtipidii mwisho miaka 28 haijalishi una level gani ya elimu, anyway tafuta connection lakini
Kuna rafik angu Ana 33 year degree uchumi,nimempambania ameingia jeshi flani japokua kigezo cha umri hana..Oya wanangu vipi kwenye usaili wa JWTZ na wenyewe wanahitaji kitu cha NIDA ili mtu aangalie utaratibu wa kupambania kombe kwa unaa mwingine kwa kuichekecha hiyo kitu au ikoje ?
Pesa ya kuwahonga makamanda wanipe nafasi nayo, SINA !
yani ni kama komandoo akiwa vitani, ameishiwa risasi na viazi (mabomu) sasa anatamani afanye UP achomoke hapo lakini hawezi kutokana na kwamba amezungukwa na adui zake wenye silaha nzito. Noma sana.
Naona mambo mawiliKuna rafik angu Ana 33 year degree uchumi,nimempambania ameingia jeshi flani japokua kigezo cha umri hana..
Ushauri unaweza kuwa mzuri lakini kwa alivyojieleza hata iyo hela kutosha kumfikisha USA atahustle sana.Mkuu njia rahisi cheza green card lottery ikitokea ukashinda pambana uende ukajiunge na jeshi la Marekani kule wanachukua hadi miaka 35, labda kama unataka kulitumikia jeshi la nchi yako tu ila Mtipidii mwisho miaka 28 haijalishi una level gani ya elimu, anyway tafuta connection lakini
[emoji16][emoji16][emoji16]mimi natoa tu ushuhuda kwamba haya mambo yanaeezekana hata awe na miaka 35....sifa mbangaNaona mambo mawili
1)unamtia moyo kuwa umri sio issue as long as una Nia ipo siku atapata anachohitaji
2) Venezuela,watu waje DM.
Kupanga ni kuchagua
Kweli mkuu mtaani mambo ni magumu mno kama uko idle tu aisee, Mwenyezi Mungu atutilie wepesi[emoji120]Now I'm believing being idle without anything which keep you busy ni mtihani kweli kweli....
Hizi ndio ajira nimeomba afu kila siku kila muda nawaza zitatoka lini, is like naingia jf Mara 30 kwa siku kuchungulia PDF
Na nimegindua hiyo yote ni kwasababu kwa sasa sina tena pale nilipokuwa nikijishkiza
Umri unasonga, majukumu, fear andstress and sometime depression....
Kwa ndugu zangu waislam kwa sasa naielewa sana hii aya
وَأَمَّا السَّائِلَ فَلَا تَنْهَرْ
Na anaye omba au kuuliza usimkaripie
Jamani mtu akikuomba hata kama kipo nje ya uwezo wako au kwa mizani yako unaona labda yeye ni mzembe mvivu hajiongezi hajutumi jaribu tu kumjibu kwa wema muelimishe ila usimkaripie au kumjibu vibaya.....people are suffering out there tunapitia mengi kwelikweli
Daah halafu wanarudi kitaa! Hapo unakuta tayari familia zishaanza kuwategemeaNidhamu muhimu mkiingia chomboniView attachment 2527463