Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Duuuuh nina miaka 31, ndoto yangu ni kuwa JWTZ elimu digri (hapa najuta kwa nini nilijichanganya kusoma tena umri ukaenda tena kusoma maana six nilizingua na ma E flat miaka ile ya 2013) ilitakiwa niende kule mapema sana kufanya kazi ninayoipenda ktk uso wa hii dunia.
Sasa Nafsi inanisuta kila siku kila mda inataka niwepo jeshini, taaluma yangu ni ya kiboya jeshi haliitaki ! Utumishi .... NGUMI AINA YA SUGUNYO (japo hata wangenipa kazi ningewakimbia badae na kupambania kurudi kwenye kazi niliyoandikiwa kuja kuifanya ya JWTZ) Umri umeshanitema ningeenda hata kujitolea nikabasti kozi tena (maana nilienda mujibu wa sheria) fani nzuri sina mamamamamaeeeeeh ! Mbuyu sina manina zangu .... Maisha haya nyoko sana, acha kabisa.
Oya Kwa hiyo siku moja nitakuja kufa bila kuwa askari wa JWTZ au [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] ? Yani siamini Hivi humu hamna wa kunishika mkono aiseeeh nikalivae baka walau nije kudedia kunako uwanja wa kivita nikipambania amani ya dunia hii ?
Degree yoyote jakata unaingia. Hakuna mgawanyo wa shahada muhim ndo maana katika sifa za kuzama jakata Ni degree na sio degree ya dash... Dash

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Ukikuta hivi, hata kama mtandao umeyumba... Moyo lazima udundee!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20230223-223900.jpg
 
Anaandaaje wakat hajachaguliwa[emoji3][emoji3]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Alikuwa na mbanga mzito..!![emoji23][emoji23] Baada ya kuhakikishiwa ushindi, akaanza hadi kuweka status za dreams come true..!!!

Duuh, kumbe mibanga inazidiana pumzi..!!

Na hapo mwanzo nilimshauri sana awekeze nguvu zake PT..!! Ila ndio hivyo alidai anaipenda sana UT.

Sema haya mambo hayana formula.
 
Alikuwa na mbanga mzito..!![emoji23][emoji23] Baada ya kuhakikishiwa ushindi, akaanza hadi kuweka status za dreams come true..!!!

Duuh, kumbe mibanga inazidiana pumzi..!!

Na hapo mwanzo nilimshauri sana awekeze nguvu zake PT..!! Ila ndio hivyo alidai anaipenda sana UT.

Sema haya mambo hayana formula.
mbanga ipo kwenye system bado? na rank gani? coz akiwa ndani ya mfumo ngumu mno kushindwa kukupigania
 
Hivi wakuu kozi za mambo ya ndani mfano kama vile kozi ya polisi nazo huwa na mkesha six weeks?
 
Back
Top Bottom