Mr RMJ
JF-Expert Member
- Jun 30, 2022
- 454
- 904
Meza huwa inapinduliwa muda wowoteMpaka sahiz tumechelewa,maana PDF mda wowote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Meza huwa inapinduliwa muda wowoteMpaka sahiz tumechelewa,maana PDF mda wowote
Vijana...jumanne ya wiki ijayo ...muda Kama huu watu tatakua wamejijuaMpaka sahiz tumechelewa,maana PDF mda wowote
Huenda ana uhakika kama ndugu yetu MchinoxMeza huwa inapinduliwa muda wowote
Wenye fani wafanye kutulia kwanza?Kama...ulifanya usaili kwa kamanda polisi..mkoa Anza kufanya maandalizi...maana watachukuliwa karibu wote...
Sisi wa fani bhana,tujipange kisaikologia tuWenye fani wafanye kutulia kwanza?
[emoji23] mkuu mimi sina ndoto ya kua askari,kwanza sijawahi hata kuomba hizo kaziHuenda ana uhakika kama ndugu yetu Mchinox
Ahaaah basi nakuja pm haraka sana unifanyie konekisheni nikalinde mipaka yetu ili nyie mle raha na wake & mademu zenu wazuri. Najua Utanipokea mkuu[emoji23] mkuu mimi sina ndoto ya kua askari,kwanza sijawahi hata kuomba hizo kazi
2 weeks tu..unaendaje kusoma masomo ya sheria na mausingizi...hizo 6 weeks ni jwtzHivi wakuu kozi za mambo ya ndani mfano kama vile kozi ya polisi nazo huwa na mkesha six weeks?
Polisi baada ya chakula cha jion saa 12 unaweza ukalala...ila kuamka ni saa 6 usiku ambapo roll call inafanyika then mnaenda mabioHakuna cha six week mambo ya ndani....by saa4 tuu mnaendalala....
Ila mnaamka saa8 au9 alfajir mchakamchaka
Acha uongo mzee 😂😂
Sasa si uliomba kwa level ya form 4 mkuu...unataka utaratibu gani mwingine? Mliochaguliwa mtapewa taarifa usafiri utakuw organised.. mtaenda kwa pamojaiv ikitokea umechaguliwa kwenda cpp utaratibu huwa unakuaje kama ulituma maombi kwa kigezo cha form 4
Kwa intake hii kuna jamaa mmoja nimemsaidia kwenda sehemu flani....ko maybe tusubir intake zijazo....Ahaaah basi nakuja pm haraka sana unifanyie konekisheni nikalinde mipaka yetu ili nyie mle raha na wake & mademu zenu wazuri. Najua Utanipokea mkuu
Sawa. Mwenyezi Mungu ninamuomba sana, sichoki. Japo hajanifungulia baraka nikawa Jeshini. Sema kusali na kutubu dhambi muhimu maana mtu hajui anakufa lini, isije ikawa taabu katika maisha mengine yanayofuatia baada ya hapo.Kwa intake hii kuna jamaa mmoja nimemsaidia kwenda sehemu flani....ko maybe tusubir intake zijazo....
Ila usichoke kuomba mungu..
Tafuta nida ungekuwa kigoma ningekusaidia ukaipata ndani ya nusu saa tuOya wanangu vipi kwenye usaili wa JWTZ na wenyewe wanahitaji kitu cha NIDA ili mtu aangalie utaratibu wa kupambania kombe kwa unaa mwingine kwa kuichekecha hiyo kitu au ikoje ?
Pesa ya kuwahonga makamanda wanipe nafasi nayo, SINA !
yani ni kama komandoo akiwa vitani, ameishiwa risasi na viazi (mabomu) sasa anatamani afanye UP achomoke hapo lakini hawezi kutokana na kwamba amezungukwa na adui zake wenye silaha nzito. Noma sana.
Mkuu Jw tayari in intake mpya imeingia tujue tunafosi vp ijayo?Kwa intake hii kuna jamaa mmoja nimemsaidia kwenda sehemu flani....ko maybe tusubir intake zijazo....
Ila usichoke kuomba mungu..
Nipo Dar kwa sasa NIda ipo mda sana tangu 2017 mkuu, nilitaka kujua kama hawaulizi ķwenye usaili ili nijipige kifua nikajaribu tena bahati JKT. Au kama inawezekana nijisajiri upya nibadilishe mwaka wa kuzaliwa na jina kabisa. Ili wakiihitaji jeshini nisipate taabu maana hii iliyopo umri wake ni wa hovyo sana ni mkubwa majeshi hayautaki na mimi ndiyo yule mwenye mahaba mazito na hicho chombo yani siambiwi wala sisikii ! Ni shida sana. Vipi kupata nida nyingine inawezekana ukizingatia alama za vidole vyangu tayari wanazo kule ? Nasaka jeshi kwa udi na uvumba yanTafuta nida ungekuwa kigoma ningekusaidia ukaipata ndani ya nusu saa tu
Kama upo kwingine nenda ofisi za nida ujieleze utahudumiwa vizuri tu na utaipata kuanzia siku 2 mpaka 5 tu
Ko tofauti na JW huendi au..Nipo Dar kwa sasa NIda ipo mda sana tangu 2017 mkuu, nilitaka kujua kama hawaulizi ķwenye usaili ili nijipige kifua nikajaribu tena bahati JKT. Au kama inawezekana nijisajiri upya nibadilishe mwaka wa kuzaliwa na jina kabisa. Ili wakiihitaji jeshini nisipate taabu maana hii iliyopo umri wake ni wa hovyo sana ni mkubwa majeshi hayautaki na mimi ndiyo yule mwenye mahaba mazito na hicho chombo yani siambiwi wala sisikii ! Ni shida sana. Vipi kupata nida nyingine inawezekana ukizingatia alama za vidole vyangu tayari wanazo kule ? Nasaka jeshi kwa udi na uvumba yan
Mndewa kama mndewa...hahahaa sawaVijana...jumanne ya wiki ijayo ...muda Kama huu watu tatakua wamejijua
was ccp...