Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Ndo maana unaambiwa maintain nidhamu yakoDaah halafu wanarudi kitaa! Hapo unakuta tayari familia zishaanza kuwategemea
Ahaaah nibariki na mimi nikalinde mipaka ya nchi yetu ndugu niyatendee haki Maisha yangu hapa duniani.Kuna rafik angu Ana 33 year degree uchumi,nimempambania ameingia jeshi flani japokua kigezo cha umri hana..
Degree yoyote jakata unaingia. Hakuna mgawanyo wa shahada muhim ndo maana katika sifa za kuzama jakata Ni degree na sio degree ya dash... DashDuuuuh nina miaka 31, ndoto yangu ni kuwa JWTZ elimu digri (hapa najuta kwa nini nilijichanganya kusoma tena umri ukaenda tena kusoma maana six nilizingua na ma E flat miaka ile ya 2013) ilitakiwa niende kule mapema sana kufanya kazi ninayoipenda ktk uso wa hii dunia.
Sasa Nafsi inanisuta kila siku kila mda inataka niwepo jeshini, taaluma yangu ni ya kiboya jeshi haliitaki ! Utumishi .... NGUMI AINA YA SUGUNYO (japo hata wangenipa kazi ningewakimbia badae na kupambania kurudi kwenye kazi niliyoandikiwa kuja kuifanya ya JWTZ) Umri umeshanitema ningeenda hata kujitolea nikabasti kozi tena (maana nilienda mujibu wa sheria) fani nzuri sina mamamamamaeeeeeh ! Mbuyu sina manina zangu .... Maisha haya nyoko sana, acha kabisa.
Oya Kwa hiyo siku moja nitakuja kufa bila kuwa askari wa JWTZ au [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] ? Yani siamini Hivi humu hamna wa kunishika mkono aiseeeh nikalivae baka walau nije kudedia kunako uwanja wa kivita nikipambania amani ya dunia hii ?
Sawa, na badae jeshi likija kufanya usaili, utatoboa Kihangaiko kama huna mbanga, pesa ya kuhonga wala taaluma pendwa na jeshi ?Degree yoyote jakata unaingia. Hakuna mgawanyo wa shahada muhim ndo maana katika sifa za kuzama jakata Ni degree na sio degree ya dash... Dash
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Ccp inakuita mkuu. Andaa mabeg kabisaUkikuta hivi, hata kama mtandao umeyumba... Moyo lazima udundee!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2527921
[emoji23][emoji23][emoji23] kuna rafiki yangu UT aliandaa hadi pesa ya bima, vipimo, matumizi nk... Kaambulia ndoige [emoji15]Ccp inakuita mkuu. Andaa mabeg kabisa
Anaandaaje wakat hajachaguliwa[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23] kuna rafiki yangu UT aliandaa hadi pesa ya bima, vipimo, matumizi nk... Kaambulia ndoige [emoji15]
UT ni noma sana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23] kuna rafiki yangu UT aliandaa hadi pesa ya bima, vipimo, matumizi nk... Kaambulia ndoige [emoji15]
Alikuwa na mbanga mzito..!![emoji23][emoji23] Baada ya kuhakikishiwa ushindi, akaanza hadi kuweka status za dreams come true..!!!Anaandaaje wakat hajachaguliwa[emoji3][emoji3]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kweli mkuu..!! Siwezi kupinga hata kidogo.UT ni noma sana mkuu
mbanga ipo kwenye system bado? na rank gani? coz akiwa ndani ya mfumo ngumu mno kushindwa kukupiganiaAlikuwa na mbanga mzito..!![emoji23][emoji23] Baada ya kuhakikishiwa ushindi, akaanza hadi kuweka status za dreams come true..!!!
Duuh, kumbe mibanga inazidiana pumzi..!!
Na hapo mwanzo nilimshauri sana awekeze nguvu zake PT..!! Ila ndio hivyo alidai anaipenda sana UT.
Sema haya mambo hayana formula.
Sikutaka kuchimba zaidi...ni kumpa pole tuu!!mbanga ipo kwenye system bado? na rank gani? coz akiwa ndani ya mfumo ngumu mno kushindwa kukupigania
Tulikua nae domu ,kwenye usahili?Sikutaka kuchimba zaidi...ni kumpa pole tuu!!
Wadogo zangu mnaotafuta ajira mnatakiwa muwe watulivu sana bila sivyo ukipanic tuu watu wanakugeuza wewe ajira wakat unatafuta ajira...zimetajwa tarehe nyingi sana humu