Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

watoe tujue Moja, sio Kila siku mawazo [emoji23][emoji23][emoji23]
Vijana hamna uvumilivu kabisa...fatilieni huko nyuma PT walikuw wanatoa baada ya muda gan kutoka usaili. Mnataka usaili umalizike leo..majibu yatoke keshokutwa 😂😂 kuna protocols ...wakat ukifika mtajijua tu achen mteru
 
Vijana hamna uvumilivu kabisa...fatilieni huko nyuma PT walikuw wanatoa baada ya muda gan kutoka usaili. Mnataka usaili umalizike leo..majibu yatoke keshokutwa [emoji23][emoji23] kuna protocols ...wakat ukifika mtajijua tu achen mteru
[emoji23][emoji23][emoji23] sawa
 
Msaada anayejua nature ya maswali ya pccb aptitude test ni ya numerical au verbal qns wadau waliyofanya mwaka jana
Maswali rahisi ya kuchagua majibu (multiple choices) kiingereza cha shule ya msingi darasa la nne la tano n.k hesabu za shule ya msingi zile rahisi rahisi mfano sehemu, milinganyo sahili n.k Najua nilipata A ya 90% kwenda juu ila SUGUNYO iliyonikuta sasa mmmmh hatari sana oral sikuitwa na wengine walioitwa pdf ya mwisho hawakutoboa. Kule nadhani kama huna maelekezo kutoboa ni kwa ngekewa ila kikubwa ninkupambana hivyo hivyo huwezi jua riziki yako.
 
Aah shukran sana mkuu angalau nimepata mwanga this time ngoja nikapambane hivyo hivyo
Kwan mtaalamu maswali yalikuwa mangapi na kwa muda gan !?niplan inshu ya speed pia
 
Sasa Kama majibu unaambiwa utatumiwa kwenye email Kama umechaguliwa na hakuna pdf unahic unapitaje[emoji3]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kushindwa kwako sio kushindwa kwa mwingine. Kila mtu amepangiwa fungu lake na Mungu. Kama amepangiwa, atapata ila kma hajapangiwa hatapata. Tusijipe nafasi ya Mungu y kuamua kupata au kukosa kwa mwingine.
Mkuu kama unavyosema ni hvyo basi wangepata hata wasiokua na vyeti pia, ishu Iko hivi Sasa hivi kujuana kumetamalaki kwakua kunashida ya Ajira na huyo mwenye refa sio kuwa hamuombi mungu pia.
 
Mkuu kama unavyosema ni hvyo basi wangepata hata wasiokua na vyeti pia, ishu Iko hivi Sasa hivi kujuana kumetamalaki kwakua kunashida ya Ajira na huyo mwenye refa sio kuwa hamuombi mungu pia.
Wapo wanaopata pia bila kujuana. So it is a matter of chance. Instead of discouraging someone..let him try ajionee mwenyewe. Maana hata hiyo nauli unayosema asipoteze ni yake na mpangaji ni Mungu. Naongea by experience and I am being positive.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…