Hata km bado kwa miezi 9 ni muda mrefu sana kwa course husika ndugu yangu especially kwa kijana aliyepitia JKT kwa kwa kujitolea na kumaliza mafunzo yale miezi 6 hyo teyari ni askari kamili amini kwamba achilia mbali tu kuishi maisha ya kijeshi paka kutoboa ule mkataba wa miaka 2 wengine wamekaa zaidi ya miaka mi3 hyu teyari yuko timamu,kwenye vipengele km vya ukakamavu, utumiaji wa silaha,uvumilizu,nidhamu &maadili ya kijeshi sema tu kuna mambo zaidi ya kipolisi ambayo ni tofauti na jeshini kwa Polisi atakwenda kudeal zaidi na raia so vitu km vile sheria, upelelezi n.k ndo vipengele vya kuendelezwa navyo kwa hyo bado miezi 9 ni mingi mno ukizingatia kuna mambo mengine utazidi kuyajua katika field kwny utendaji na kozi mbali za kujiendeleza ukiwa teyar kwny ajira
Hv unaelewa utofauti wa miezi mi3 na miaka 3 ww hv unajua vzr lyf la JKT? yaan mujibu na kujitolea ni km mbigu na ardhi yaan hata course ni tofauti kabisa ndo maana mujibu paka wagonjwa na walemavu wote wanakuwa trained na wanamaliza wale wanakwenda kwa mujibu wa sheria si kwa kupenda Jina linakusoma unakwenda unafika uatumikia miezi yako mi3 unarudi kuendela na harakati nyingine uraian scale ya mujibu na kujitolea tofauti kabisa hata makamanda wanajua hyu anapita km njia na hyu kesho keahokutwa anaweza akwa askari km mm kwa hyo ananyoosha syllubus km scale inavyosema ili uwe askari mzuri ukiachana tu na utofauti wa aina ya mafunzo kati ya mujibu na kujitolea maisha ya uservice ni magumu kuliko ukuruti mzee asikwambie mtu.