Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Wewe ungekuwa umesoma comments zangu ulizoziquote, wala usingeandika hili gazeti lote eti mimi sijui maana ya askari, hivi huwa mnahisi huko jeshini mlipita peke yenu au kwamba ninyi ndio mnalijua sana jeshi kuliko wengine wote

Ndio nakuambia sasa askari wa mujibu wa sheria wapo wengi tu, maana kumbuka si kila mujibu hufanikiwa kuchaguliwa kwenda monduli kupiga military science au officer cadet wengine hukosa hizo nafasi hivyo huishia kuwa askari tu, au unataka kuwadanganya wenzio hapa kuwa mujibu hawapiti kihangaiko na oljoro

Huyo ndugu yangu ninayekuambia amepita mujibu op samia aliendelea na course ya ajira akaenda msata wameapa mwaka jana, form six wakachukuliwa kuenda monduli kuanza military science sema yeye akiwa huko kuna ishu alizingua, akarudishwa kambini kabaki kama private tu acha ubishi na ujuaji kijana
Uko sahihi mkuu
 
Duuh masikini kumbe jeshi kutangaza hizi nafasi ndio kumewapa bichwa wa kujitolea na kuanza kuongea mineno yote hiyo, maana huko nyuma hakuwahi kuwa na vita kama hii wote mujibu na kujitolea mlikuwa mnaishia kulalamika tu kwamba ajira za majeshi ni ngumu leo jwtz wametangaza ajira kwa kuwaonea huruma tu, maana hilo jeshi kila mtu alishalikatia tamaa hakuna aliyedhani kwamba siku moja wangewakumbuka uraiani sasa ndio mnataka kujimwambafy hapa siyo

Ni hivi hili tangazo la juzi halijawahusu mujibu si kwamba hawahitajiki bali ni kwa sababu mujibu tayari walishakuwa na intake yao mwaka jana, yani ni juzi juzi tu hapa mujibu wametoka kuchukuliwa pamoja na wale madoctor na maengineer halafu leo tena wachukuliwe, mngesema mujibu wanachukuliwa wachache kuliko wa kujitolea tungewaelewa lakini mlipojichanganya ni pale mliposema mujibu hawahitajiki kabisa jeshini yani mmeonekana wote mananga tu

Hiyo ya mdogo wangu ni mfano niliosisitiza sababu ndio mtu wangu wa karibu zaidi ila mifano ipo mingi tu, halafu nimetoka kusema hapo kuwa kumbuka si kila mujibu lazima aende monduli eti kisa tu ana elimu ya form six haiko hivyo, unaweza kuwa na level hiyo ya elimu na bado ukaishia kuwa askari tu bila sababu yoyote au wewe hujawahi kusikia maaskari wenye form six huko jeshini acheni kukariri
Sasa mbna unaandika Yale Yale Ni kweli kua mujibu huchukuliwa kama millitary science kila mwaka hata mwaka Jana walichukuliwa ninachozungumzia Hapa Ni mujibu kuchukuliwa kama Askari kawaida kwa sababu hata intake zote zilizoingia kipindi Cha magu hapo wakati ajira zilikua ngumu majeshini walikua Ni kujitolea wale waliokaa kwenye kazi za ujenzi kua nzia zile za ukuta wa mererani na hizi za juzi Hapa za waliojenga ukuta chamwino
 
Duuh masikini kumbe jeshi kutangaza hizi nafasi ndio kumewapa bichwa wa kujitolea na kuanza kuongea mineno yote hiyo, maana huko nyuma hakuwahi kuwa na vita kama hii wote mujibu na kujitolea mlikuwa mnaishia kulalamika tu kwamba ajira za majeshi ni ngumu leo jwtz wametangaza ajira kwa kuwaonea huruma tu, maana hilo jeshi kila mtu alishalikatia tamaa hakuna aliyedhani kwamba siku moja wangewakumbuka uraiani sasa ndio mnataka kujimwambafy hapa siyo

Ni hivi hili tangazo la juzi halijawahusu mujibu si kwamba hawahitajiki bali ni kwa sababu mujibu tayari walishakuwa na intake yao mwaka jana, yani ni juzi juzi tu hapa mujibu wametoka kuchukuliwa pamoja na wale madoctor na maengineer halafu leo tena wachukuliwe, mngesema mujibu wanachukuliwa wachache kuliko wa kujitolea tungewaelewa lakini mlipojichanganya ni pale mliposema mujibu hawahitajiki kabisa jeshini yani mmeonekana wote mananga tu

Hiyo ya mdogo wangu ni mfano niliosisitiza sababu ndio mtu wangu wa karibu zaidi ila mifano ipo mingi tu, halafu nimetoka kusema hapo kuwa kumbuka si kila mujibu lazima aende monduli eti kisa tu ana elimu ya form six haiko hivyo, unaweza kuwa na level hiyo ya elimu na bado ukaishia kuwa askari tu bila sababu yoyote au wewe hujawahi kusikia maaskari wenye form six huko jeshini acheni kukariri
Kujitolea jeshi ndio Ajira yao mama yaani jwtz ndio mama ake na jkt kwaio mama kumkumbuka mwanae chakula kikiwa tayari sio huruma sawa dg af hao mujibu ckuiz sababu ya kukosa Ajira baada ya kumaliza vyuo ndio wanaotia huruma kulilia hizi Ajira za ma jeshi ambazo sio mahsusi kwa ajili yao wao walipitishwa jkt kwa mujibu wa Sheria inavyowataka sio kwenda kutafuta Ajira kama wa kujitolea ndio maana hata kozi yao Ni tia maji sio ka wa kujitolea
 
Kijana kwa taarifa yako hili tangazo mujibu wataomba na wengi watapata na wala hutajua wamepataje pataje, ninyi endeleeni kujifariji hapo kisa mmejitolea miaka miwili wakati hamna watu wa kuwashika mikono, mkitegemea eti mambo yatakuwa fair kama yalivyoandikwa hapo
Usisahau kua kujitolea licha ya kua Wana Sifa pia nao Wana mibanga dg usifikiri kua wao ndio kinyonge
 
Oi tuachane na haya mambo bana ya Mara hawa wanafahaa au sio...
Tuendelee kupeana lonja Kama ilivokuwa mwanzo na sio haya tunayoendelea nayo ...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kijana kwa taarifa yako hili tangazo mujibu wataomba na wengi watapata na wala hutajua wamepataje pataje, ninyi endeleeni kujifariji hapo kisa mmejitolea miaka miwili wakati hamna watu wa kuwashika mikono, mkitegemea eti mambo yatakuwa fair kama yalivyoandikwa hapo
Una mibuyu mikubwa kijana sio ?
Usitambie mibuyu bhn ( Mungu ndo Mbuyu mkubwa hata Kwa mbuyu wako )
2015 nikiwa namaliza University mibuyu yangu mikubwa tena ya jikoni Ilipotea.
Nilipoteana, Nilianza upya kabisa from Zero 0 .
Msitambiane , ingieni kati mlicheze Goma wote Tyr hiyo ni meli ya mgiriki .
 
Yaan io PDF ni pasua kichwa....
Kila mmoja ana hari yake[emoji3][emoji3] Bora ambao wamepigiwa simu kuambiwa warekebishe mambo yao hao wanauhakika wamepata tayari

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Waambie kua hao kujitolea wengi hata hio jkt waliingia kwa mibanga sio ka wao walioingia sababu wamemaliza form six kwaiyo asijidanganye kua hawana mibanga
 
Sasa si ndio nawashangaa mnaodhani eti kwa vile nafasi zilizotangazwa ni za wa kujitolea basi eti ndio watapata kwa bahati bila connection, ndio nimekuambia sasa hizi nafasi wote mujibu na wa kujitolea watapata ila kwa connection tu na si vinginevyo, kama huna mbanga usitegemee kupata hata uwe umejitolea miaka kumi sasa we kaa hapo kizembe ukisubiria bahati eti kwa vile umekidhi vigezo
Dada na mie nataka kujiunga jeshi baadae, naomba uwe connector wangu.
 
Kwakweli sijui hata mnacho bishania ni nin,maana maswali yote yamejibiwa juu,itawagalimu nin kufikia muhafaka mbona mnataka kujaza Uzi wadau
 
Mii naombeni tuache kubishana wakati wote sisi ni service man na wote tulikua tunakula posho ya 50k

Kikubwa saiv tupeana muongozo wa barua ya maombi inakuaje na inabid iandikwe vipi mii naona icho ndo chamsing kwa sasa Mana jw ni kama uhamiaji kwenye ukaguzi wa barua so naombeni wenye ujuzi wa ayo mambo watupe muongozo
 
Basi wewe umerukia tu mada mwenzio alisema ajira za majeshi siyo za mujibu eti mujibu hawahitajiki kabisa jeshini, baadaye akabadili gia akasema wanahitajika ila wanachukuliwa kama officer cadet sasa kwani officer cadet siyo wanajeshi hiyo nayo si ajira tayari au ukiwa officer unakuwa hujaajiriwa na jeshi, acheni ubishi na ujuaji
Labda alijichanganya
 
Dogo kuwa askari yeyote anaweza kuwa askari iwe ni mujibu au kujitolea, na ndio maana wote lazima wapitie kwanza rts kihangaiko na rts oljoro ambazo ndio kambi zinazotoa maaskari, kwenda monduli ni matokeo tu na si form six wote wanaenda hivyo baadhi hubaki kuwa askari tu
Mujibu mpk awe na mbanga mzito ndio anaweza pata ila kujitolea Ni vigezo tu maana vinawataka wao means kama huna vigezo ndio utalazimika kua na mbanga
 
Sasa kumbe unalijua hilo kijana kwahiyo hapo point ni kwamba hakuna atakayeingia kwa bahati kama mnavyojidanganya, ndio muelewe tunaposema hizo nafasi wataingia wote mujibu na wa kujitolea ila kwa mbanga tu, sasa ingekuwa hizo nafasi zinawahusu ninyi tu si mngeingia kwa vigezo kwanini mpaka mibuyu
Sasa hapo tunachoongelea kua hizi nafasi Ni za kujitolea wao hata bila mmbanga wanapata maana vigezo wanavyo sasa ka huna vigezo hata interview hutaitwa inabd usubirie mpk watu walipoti ndio ukaunge alafu kujitolea hawahitaji bahati Ni vigezo ndio vinawataka
 
Sasa kumbe unalijua hilo kijana kwahiyo hapo point ni kwamba hakuna atakayeingia kwa bahati kama mnavyojidanganya, ndio muelewe tunaposema hizo nafasi wataingia wote mujibu na wa kujitolea ila kwa mbanga tu, sasa ingekuwa hizo nafasi zinawahusu ninyi tu si mngeingia kwa vigezo kwanini mpaka mibuyu
Na sio kwamba nafasi za jeshi wote wanaoingia Ni kwa mibuyu Ni kwamba wenye vigezo wakishajaa wataangalia ka kuna ma gepu yanabaki ndio wa kubwa wanagawana hayo ma gepu
 
Ndio nawashangaa mnaodhani eti kwa vile nafasi zilizotangazwa ni za wa kujitolea basi eti ndio watapata kwa bahati bila connection, nakuambia sasa hizi nafasi wote mujibu na wa kujitolea watapata ila kwa connection tu na si vinginevyo, kama huna mbanga usitegemee kupata hata uwe umejitolea miaka kumi sasa we kaa hapo kizembe ukisubiria bahati eti kwa vile tu unajiona umekidhi vigezo
Dg mm nmetoka msata juzi nlikua kwny bogi la chamwino kwaiyo I'm talking from experience sihadithiwi ka ww na me nlishapata tayari sio ka nazitaka hizo nafasi no
 
Usibishane nao mkuu maana wanajaribu kupingana na ukweli we waambie tu wa Applly na vyeti vyao vya mujibu wasubirie majibu yakishatoka ndio watajua utofauti uko wapi saiv hawawez kukuelewa
Mkuu me nimeachana nao acha waendelee kutekenyana sijui wanadhani JW ni Polisi
 
Back
Top Bottom