Duuh masikini kumbe jeshi kutangaza hizi nafasi ndio kumewapa bichwa wa kujitolea na kuanza kuongea mineno yote hiyo, maana huko nyuma hakuwahi kuwa na vita kama hii wote mujibu na kujitolea mlikuwa mnaishia kulalamika tu kwamba ajira za majeshi ni ngumu leo jwtz wametangaza ajira kwa kuwaonea huruma tu, maana hilo jeshi kila mtu alishalikatia tamaa hakuna aliyedhani kwamba siku moja wangewakumbuka uraiani sasa ndio mnataka kujimwambafy hapa siyo
Ni hivi hili tangazo la juzi halijawahusu mujibu si kwamba hawahitajiki bali ni kwa sababu mujibu tayari walishakuwa na intake yao mwaka jana, yani ni juzi juzi tu hapa mujibu wametoka kuchukuliwa pamoja na wale madoctor na maengineer halafu leo tena wachukuliwe, mngesema mujibu wanachukuliwa wachache kuliko wa kujitolea tungewaelewa lakini mlipojichanganya ni pale mliposema mujibu hawahitajiki kabisa jeshini yani mmeonekana wote mananga tu
Hiyo ya mdogo wangu ni mfano niliosisitiza sababu ndio mtu wangu wa karibu zaidi ila mifano ipo mingi tu, halafu nimetoka kusema hapo kuwa kumbuka si kila mujibu lazima aende monduli eti kisa tu ana elimu ya form six haiko hivyo, unaweza kuwa na level hiyo ya elimu na bado ukaishia kuwa askari tu bila sababu yoyote au wewe hujawahi kusikia maaskari wenye form six huko jeshini acheni kukariri