Hata mm naacha kuwajibuMkuu me nimeachana nao acha waendelee kutekenyana sijui wanadhani JW ni Polisi
Umeshasema kuna kitu alizingua na hii ni kawaida sana mfano kufeli mitihani, nidhamu na nk hawa huwa wanarudishwa vikosini kuwa askari sababu kuna kozi aliyopiga ya uaskari ko kumfukuza inakuwa haileti maana ila sasa ukija kwenye lengo ni kuwa yule alichukuliwa akawe afsa na sio askari ila ni coincedence tu imefanya vile.Wewe ungekuwa umesoma comments zangu ulizoziquote, wala usingeandika hili gazeti lote eti mimi sijui maana ya askari, hivi huwa mnahisi huko jeshini mlipita peke yenu au kwamba ninyi ndio mnalijua sana jeshi kuliko wengine wote
Ndio nakuambia sasa askari wa mujibu wa sheria wapo wengi tu, maana kumbuka si kila mujibu hufanikiwa kuchaguliwa kwenda monduli kupiga military science au officer cadet wengine hukosa hizo nafasi hivyo huishia kuwa askari tu, au unataka kuwadanganya wenzio hapa kuwa mujibu hawapiti kihangaiko na oljoro
Huyo ndugu yangu ninayekuambia amepita mujibu op samia aliendelea na course ya ajira akaenda msata wameapa mwaka jana, form six wakachukuliwa kuenda monduli kuanza military science sema yeye akiwa huko kuna ishu alizingua, akarudishwa kambini kabaki kama private tu acha ubishi na ujuaji kijana
Zimefanyajee...Akat PDF mda wowote inadondoka kuanzia j3Trhe 14. Au 15
Ww jamaa hapa umeongea sahihi kabisaUna mibuyu mikubwa kijana sio ?
Usitambie mibuyu bhn ( Mungu ndo Mbuyu mkubwa hata Kwa mbuyu wako )
2015 nikiwa namaliza University mibuyu yangu mikubwa tena ya jikoni Ilipotea.
Nilipoteana, Nilianza upya kabisa from Zero 0 .
Msitambiane , ingieni kati mlicheze Goma wote Tyr hiyo ni meli ya mgiriki .
Kiufupi ata mim nataka nijue ichi kitu kinakuajenaombeni mnielekeze jinsi ya kutuma maombi nimepata mkanganyiko kidogo hapo kutuma kwa njia ya email yan inakuaje ni kwamba naandika barua kwa mkono afu naiweka kwenye mfumo wa pdf pamoja na vyeti vingine ndio natuma huko kwenye email yao au inakuaje wakuu kwa waliohawahi kutuma maombi kwa njia ya email msaada hapo nataka nifanye hii kitu mapema sana maana ngoja ngoja utakuta mwana sio wakoo....
Naomba kuwasilisha
ata mimi nilikua naomba kujua jinsi yakuandika iyo barua Tunaomba tupate muongozo kwa wale wanao jua hii ishunaombeni mnielekeze jinsi ya kutuma maombi nimepata mkanganyiko kidogo hapo kutuma kwa njia ya email yan inakuaje ni kwamba naandika barua kwa mkono afu naiweka kwenye mfumo wa pdf pamoja na vyeti vingine ndio natuma huko kwenye email yao au inakuaje wakuu kwa waliohawahi kutuma maombi kwa njia ya email msaada hapo nataka nifanye hii kitu mapema sana maana ngoja ngoja utakuta mwana sio wakoo....
Naomba kuwasilisha
Nyie jamaa pumzikeni kwanza wote ni wajuaji,leteni ronja za pdf ya pt kwanzaWapo mujibu wengi tu waliopata bila mbanga
Nitajie kama sio millitary science na bila mmbanga alipata kwa kigezo kipi acha ujuajiWapo mujibu wengi tu waliopata bila mbanga
Nimegundua we jamaa ni ubishi tu. Mbona wpo wengi sanaNitajie kama sio millitary science na bila mmbanga alipata kwa kigezo kipi acha ujuaji
Nyie jamaa pumzikeni kwanza wote ni wajuaji,leteni ronja za pdf ya pt kwanza