Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kikubwa tuheshimiane tusivuke mipaka tuko watu wa kila Aina humu tunapitia Uzi Kwa umakini kwahiyo tuwe wastaarabu
Tupeane TAARIFA mbali mbali na sio mikwaruzano maana si lengo la Uzi huu
Ahsanteni
 
Wewe nimekuja kugundua ni unaongea ili ufurahishe watu, haya umesema kuna mujibu wapo huko na wameingia bila mbanga! Haya nakuuliza yeye huyo kaingia kwa utaratibu upi hahahah! Dah unachekesha ujue hahah! Mujibu akimaliza miezi mitatu anaenda nyumbani sasa nakuuliza kwamba alifanya usaili akiwa ndazi ya kozi ili awe askari au alivyorudi nyumbani ndo akafanya usaili hahaha!

Hili jamaa ni liongo na limepitiliza eti kuna mujibu ameingia bila mbanga!
 
Hii Vita sijui itaisha lini kungekuwa na namna ya kuwaremove tungefanya hivo lkn hamna jinsi mpaka wanafanya hata hamu ya kufuatiria mambo ya majeshi Kama mwanzo kuisha...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kubishana sio dhambi jamani! Mtu akikupinga haimaanishi yupo sawa! Kingine sio lazima kila mtu akubaliane na wewe au akubali ukweli! Ukimwambia mtu ukweli akabisha wewe pita hiv! Kila mtu ana perceive kulingana na uelewa wake! Ila wanadamu wengi hawawezi kuamini kitu ambacho hajawahi kukiona au akisikia jambo jipya masikioni mwake hawezi kukubaliana nalo! So msipotezeane muda
 
Watu wana connection zao huko kijana, siyo kwamba wanapaota huko msata ni kwamba wakitaka muda wowote wanaingia, mnaopaota ni ninyi msio na connection
Mkuu Jadda , kwa kuwa hutaki kwenda na una konekisheni za jeshini, ninaomba unikonekti mimi nikashike silaha ndugu. Ninaiota Kihangaiko mpaka nilishahitimu kozi pale ndotoni ujue. Nikonekti mimi nikaungane na vijana kulinda Taifa mkuu, ninalitaka sana jeshi.
 
Unachotakiwa ujue ni kwamba jeshi la kujenga Taifa limebadilika kwa mujibu kuanzia JPM alivyoingia kwanza mujibu wanaingia wote wanamaelekezo yani mujibu hapigwi wala nini sasa jichanganye umguse mujibu utaona hata makamanda wanawaogopa ukija kwenye kujitolea ni mzigo to mzigo haya kwenye vyeti vyao upo utafauti na vinajieleza kabisa kwamba huyu mujibu na huyu ni kujitolea halaf wewe unakuja kusema hakuna utofauti.

Haya nakuliza tena maana hujanijibu ulisema kuna mujibu wameingia bila mbanga na huo usaili ulikuwa ni na utaratibu upi ambao ulitumika kuwachukua ili wakawe askari?
 
We jamaa unachojua ni kuandika txt ndefu tu...mujibu kibao wako kwenye chombo bila hata hizo mbanga sijui nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…