southernboy
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 882
- 1,075
Wote wana nafasi sawa kwenye ajiraLakin wote wamekesha,kwata limepigwa Renji wameenda,UP wameenda na kulima wamelima wakati mwingine unaweza kuta mujbu alienda Renji then ukakuta wa kujitolea hakwenda kwa hyo tusibaguane binafsi pia ningependa wakujitolea wapewe kipaumbele zaidi lakin mujibu nao wapewe nafasi
Umemjibu vizuri snaLakin wote wamekesha,kwata limepigwa Renji wameenda,UP wameenda na kulima wamelima wakati mwingine unaweza kuta mujbu alienda Renji then ukakuta wa kujitolea hakwenda kwa hyo tusibaguane binafsi pia ningependa wakujitolea wapewe kipaumbele zaidi lakin mujibu nao wapewe nafasi
Lkn pia walibagua ufaulu form six wenye dvn two na one walikuwa hawatakiwi pia wamechukua sayansi unaanzaje kusema hawapatiknWengine hatuna pesa hata zakujiendeleza kusoma miaka inasonga tupo kitaa tunapiga vibarua tu
Sasa m naomba kuuliza tpdf kuna kipind waliandkisha madaktari uraiani kwaio nao walipga miez mi3 au ilikuaje hh
Kwa miaka ya karibuni hakuna intake wla kundi maalumu lolote lililowah kupiga course ya kuandikishwa jeshini kwa miezi 3 kwa kawaidakozi kwa kawaida course hyo huwa ni miezi mi4.Sasa m naomba kuuliza tpdf kuna kipind waliandkisha madaktari uraiani kwaio nao walipga miez mi3 au ilikuaje hapi
Hata km bado kwa miezi 9 ni muda mrefu sana kwa course husika ndugu yangu especially kwa kijana aliyepitia JKT kwa kwa kujitolea na kumaliza mafunzo yale miezi 6 hyo teyari ni askari kamili amini kwamba achilia mbali tu kuishi maisha ya kijeshi paka kutoboa ule mkataba wa miaka 2 wengine wamekaa zaidi ya miaka mi3 hyu teyari yuko timamu,kwenye vipengele km vya ukakamavu, utumiaji wa silaha,uvumilizu,nidhamu &maadili ya kijeshi sema tu kuna mambo zaidi ya kipolisi ambayo ni tofauti na jeshini kwa Polisi atakwenda kudeal zaidi na raia so vitu km vile sheria, upelelezi n.k ndo vipengele vya kuendelezwa navyo kwa hyo bado miezi 9 ni mingi mno ukizingatia kuna mambo mengine utazidi kuyajua katika field kwny utendaji na kozi mbali za kujiendeleza ukiwa teyar kwny ajiraNafikiri kuna mahali Askari wa PT wanakwama katika utendaji wao wa kila siku,Dunia inaenda kasi sana sasa hivi uhalifu uko wa aina mbalimbali na more advanced hivyo lazima muende na mabadiriko haya na kwa kuanzia lazima kuboreshwa kwa mafunzo husika na ndiyo maana zamani kwenye mafunzo ya PT hawakuwa wakienda zoezi la porini ila sasa wanaenda na wameongezewa silaha za kujifunza na kuna kuwa na kifaru kabisa na silaha nyingine za msaada hivyo lazima mambo yaboreshwe.
Hv unaelewa utofauti wa miezi mi3 na miaka 3 ww hv unajua vzr lyf la JKT? yaan mujibu na kujitolea ni km mbigu na ardhi yaan hata course ni tofauti kabisa ndo maana mujibu paka wagonjwa na walemavu wote wanakuwa trained na wanamaliza wale wanakwenda kwa mujibu wa sheria si kwa kupenda Jina linakusoma unakwenda unafika uatumikia miezi yako mi3 unarudi kuendela na harakati nyingine uraian scale ya mujibu na kujitolea tofauti kabisa hata makamanda wanajua hyu anapita km njia na hyu kesho keahokutwa anaweza akwa askari km mm kwa hyo ananyoosha syllubus km scale inavyosema ili uwe askari mzuri ukiachana tu na utofauti wa aina ya mafunzo kati ya mujibu na kujitolea maisha ya uservice ni magumu kuliko ukuruti mzee asikwambie mtu.S wote JKT mkuu au hao wa miaka mitatu wanakua wanaendelea na mkesha
Acha ubaguzi mkuu hizi ni rizk tu .mungu mkubwa atasaidia wote bila kujali loloteHata km bado kwa miezi 9 ni muda mrefu sana kwa course husika ndugu yangu especially kwa kijana aliyepitia JKT kwa kwa kujitolea na kumaliza mafunzo yale miezi 6 hyo teyari ni askari kamili amini kwamba achilia mbali tu kuishi maisha ya kijeshi paka kutoboa ule mkataba wa miaka 2 wengine wamekaa zaidi ya miaka mi3 hyu teyari yuko timamu,kwenye vipengele km vya ukakamavu, utumiaji wa silaha,uvumilizu,nidhamu &maadili ya kijeshi sema tu kuna mambo zaidi ya kipolisi ambayo ni tofauti na jeshini kwa Polisi atakwenda kudeal zaidi na raia so vitu km vile sheria, upelelezi n.k ndo vipengele vya kuendelezwa navyo kwa hyo bado miezi 9 ni mingi mno ukizingatia kuna mambo mengine utazidi kuyajua katika field kwny utendaji na kozi mbali za kujiendeleza ukiwa teyar kwny ajira
Hv unaelewa utofauti wa miezi mi3 na miaka 3 ww hv unajua vzr lyf la JKT? yaan mujibu na kujitolea ni km mbigu na ardhi yaan hata course ni tofauti kabisa ndo maana mujibu paka wagonjwa na walemavu wote wanakuwa trained na wanamaliza wale wanakwenda kwa mujibu wa sheria si kwa kupenda Jina linakusoma unakwenda unafika uatumikia miezi yako mi3 unarudi kuendela na harakati nyingine uraian scale ya mujibu na kujitolea tofauti kabisa hata makamanda wanajua hyu anapita km njia na hyu kesho keahokutwa anaweza akwa askari km mm kwa hyo ananyoosha syllubus km scale inavyosema ili uwe askari mzuri ukiachana tu na utofauti wa aina ya mafunzo kati ya mujibu na kujitolea maisha ya uservice ni magumu kuliko ukuruti mzee asikwambie mtu.
Duuuh e bwana eeWadau nimepata ronja huko musoma kumepita watu 84 ..kwa ujumla
Ipo mikoa inayopata upendeleo kulingana na nature yao na utumushi wao pindi wakipata nafasi huko majeshini.Wadau nimepata ronja huko musoma kumepita watu 84 ..kwa ujumla
Ndio maana wanachukua professionals, hao ndio wanaokuja kuongoza mbeleni.PT kuna proffesionals wengi tu kuanzia wanasheria, wahasibu, maengineers, madaktari na kada zingine nyingi tu....maIGP wengi waliopita wana taaluma ya sheria.Hao unaowaona wamefeli wanachukuliwa kwa ajili ya kazi za level ya chini za kila siku ambazo hazihitaj proffesional yoyote ,lakin pia kumaintain idad yao ndio maana wanachukua hao waliofel wakijua kabisa hawana room ya kujiendeleza kitaaluma kama ungechukua wenye div 1 or 2...wewe kama una ufaulu mzuri..nenda shule piga proffesional yako unayotaka ukimaliza nafasi zikitoka omba kwa professional yako hujakatazwa.Daaah ukikosa hizi nafas za PT ujue ni kwasababu ulikua unajitahidi kusoma na umetaulu
Sijawahi fikiria kama itafika siku,nitataman basi nibgekuaga sijafaulu maana hii ni chance pekee
Najiuliza IGP wa miaka 30 ijayo atatoka kwa hawa hawa form four au?
Mr Gpili wewe ni wale wa HQWadau nimepata ronja huko musoma kumepita watu 84 ..kwa ujumla
We jmaaa umeshajibiwa kwa nn mikoa mingine wanapewa upendeleo, unauliza tena kwa nn wasiweke usawa? Unaelewa kweli boss?Dah kwanin wasingeweka usawa kwa mikoa yote tu
We mwenyewe hujaelewa nilichokimaanisha ume copy tu na kupestWe jmaaa umeshajibiwa kwa nn mikoa mingine wanapewa upendeleo, unauliza tena kwa nn wasiweke usawa? Unaelewa kweli boss?
Ndugu mm ni technician wa ndege.Ndio maana wanachukua professionals, hao ndio wanaokuja kuongoza mbeleni.PT kuna proffesionals wengi tu kuanzia wanasheria, wahasibu, maengineers, madaktari na kada zingine nyingi tu....maIGP wengi waliopita wana taaluma ya sheria.Hao unaowaona wamefeli wanachukuliwa kwa ajili ya kazi za level ya chini za kila siku ambazo hazihitaj proffesional yoyote ,lakin pia kumaintain idad yao ndio maana wanachukua hao waliofel wakijua kabisa hawana room ya kujiendeleza kitaaluma kama ungechukua wenye div 1 or 2...wewe kama una ufaulu mzuri..nenda shule piga proffesional yako unayotaka ukimaliza nafasi zikitoka omba kwa professional yako hujakatazwa.
Technician wa ndege unakesha jamii forum kusubir lonja la polisi. Hahaha. wenzako wameajiriwa kwenye makampun makubwa we unasubir gombania goli na watu ambao hawajasoma. unachekeshaNdugu mm ni technician wa ndege.
Wenzako walikuwepo kwenye usaili kwenye kikosi cha anga...sasa nashaangaa ww upo huku ndugu unalalamika kuhusu polisi kuchukua form 4 failure wakt wanachukua na professionals kibao tuNdugu mm ni technician wa ndege.
Wewe umeuliza kwa nn kusiwe na usawa mikoa yote, na ukajibiwa vizur kabisa kuwa ni wazi kuna mikoa fulan inapewa upendeleo kutokana na utumishi wao mzuri jeshini esp mkoa wa mara, wengi utawakuta majeshin huko kwa sababu ya jinsi walivyo, majasiri na wapiga kazi....sasa sijui hauelewi au unakaza ubongo tuWe mwenyewe hujaelewa nilichokimaanisha ume copy tu na kupest