Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

dah kua na kiasi mkuu..magonjwa ya kipumbavu ni yapi hayo.
 
Ni iko hivyo... Asilimia kubwa wana makasiriko yasiyo na faida... Kwasisi ambao Bado hatujaingia ukimfata akupe ushauri aaaaaaaah umekufa... Especially ukiwa wa mujibu...utaambiwa ulienda jeshi au ulienda seminar...
Hahahah kwa hyo si mjibu tulienda semina daaj
 
Huu Uzi uliuacha Kwanza kuna muda wanitia stress Sana wakuu,kila la kheri nitakuwa nakuja mara Moja humu
 
polisi kama pdf ni hivi maslahi ndo yanakuwaje sasa huko kazini,kama kuweka majina tuu ndo hivi, unaweza kuta hata kozi mkapiga hadi 2025 haiishi[emoji28]
 
polisi kama pdf ni hivi maslahi ndo yanakuwaje sasa huko kazini,kama kuweka majina tuu ndo hivi, unaweza kuta hata kozi mkapiga hadi 2025 haiishi[emoji28]
😄😄 Hiyo inaitwa haiishi mpaka iishe,unapiga kozi mpaka unaamua kuondoka mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…