Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Ukweli mchungu.


Kuhusu Pdf la PT, hakuna ajuae ni lini litatoka kwa sasa!! Lakini unaweza uka calculate probability kwa kauli za watu waliopo huko.

Mfano wiki iliyopita kuna afisa mmoja aliniambia "kuwa kutokana na kozi zinazoendelea CCP kwa sasa, wakufunzi watapewa likizo ya mwezi mmoja na watarudi ccp tarehe 3 au 5 mwezi wa tano kwa ajili ya kuwapokea kuruta wapya".

Hapo kwa kuangalia hii kauli ndio maana huko juu walipokuwa wanasema wiki hii..
mimi nikikuwa nasema mwezi wa nne kutokana na kuwa PT wanapenda kutoa PDF lao wiki moja kabla ya siku ya kuanza kuripoti.

Kwa hiyo ni lazima tuu itakuwa mwezi wa nne.

Kwa hiyo wakuu tuvumilie tuuu.. mambo ni mengi na magumu.

NB: Hapo kwenye tarehe 3 au 5, ilitajwa namba moja na jinsi ilivyo sound nilishindwa kuidaka!!
 
Sas hapo umeona wazi kabisa tare 3 wanaporud hao wakufunz ukirudisha wiki moja nyuma kwajil ya Tangazo yaan kabla ya kuruta kuanz kupokewa unaikuta tareh 24-26...📌🔨
 
Sas hapo umeona wazi kabisa tare 3 wanaporud hao wakufunz ukirudisha wiki moja nyuma kwajil ya Tangazo yaan kabla ya kuruta kuanz kupokewa unaikuta tareh 24-26...[emoji419][emoji375]
Yaah.... Kabisa mkuu!!

Sasa watu watajua kabisa ni kuanzia 20/4 huko ndio waanze kusikilizia!!
 
Bado mnaendelea wakuu?? Hamjagundua tuu ni wapi hamuelewani???[emoji15]
 
Watakua ni wapuuzi Saana kama kweli mambo ya kijinga kama haya ndiyo yacheleweshe orodha,kwani wakitoa orodha na watu wakaendelea kujipanga Kuna tatizo Gani? Au ndio kuenenda kwa mfumo wa kukariri na sio kusoma alama za nyakati?

Kiukweli wakifanya kama usemavyo nitaamini kua kweli jeshi la polisi akili zao ndogo Saana, kwani pdf inaoza au walengwa wakiiona mapema course inapoa? Naona Kuna mengi chini ya kapeti. Kujipanga kwa watao chaguliwa kwa hitaji pesa pia sasa KUTOA week tu ya kujiandaa nao pia ni ujinga kimsingi
 
Duuuuuh Kwa iyo wa Zanzibar wataendelea kufanya mazoezi Hadi 20/04... Aaaah Kuna watu watakata tamaa tu najua hapo...
 
Taratibu mkuu...!!!

Jiulize tuu hili, kwanini Zanzibar toka watambue vijana watakaokwenda huko CCP, kila siku wanaripoti kwa RPC??
 
Na hii PDF ya pt,itatufunga midomo sisi wa fani,linaweza pita panga la hatari km la mwaka ule lilochukua 91 kwenye huo usahili tukajuta hata kulipania [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23] bora mwaka ule halikuchukua muda mrefu!!!

Mwaka huu, unapania hadi unasahau..!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na pengine ifike siku ya safari unaambiwa jina lako halipo.. hapo ndo watu huchizika
Hahahahaaa....!! Wazanzibari wenyewe uhakika.

Maana majina yao yametoka Makao makuu!! Yaani ni kama Bara wanavyosubiri pdf kutoka makao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…