Xavee
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 424
- 636
Ukweli mchungu.
Kuhusu Pdf la PT, hakuna ajuae ni lini litatoka kwa sasa!! Lakini unaweza uka calculate probability kwa kauli za watu waliopo huko.
Mfano wiki iliyopita kuna afisa mmoja aliniambia "kuwa kutokana na kozi zinazoendelea CCP kwa sasa, wakufunzi watapewa likizo ya mwezi mmoja na watarudi ccp tarehe 3 au 5 mwezi wa tano kwa ajili ya kuwapokea kuruta wapya".
Hapo kwa kuangalia hii kauli ndio maana huko juu walipokuwa wanasema wiki hii..
mimi nikikuwa nasema mwezi wa nne kutokana na kuwa PT wanapenda kutoa PDF lao wiki moja kabla ya siku ya kuanza kuripoti.
Kwa hiyo ni lazima tuu itakuwa mwezi wa nne.
Kwa hiyo wakuu tuvumilie tuuu.. mambo ni mengi na magumu.
NB: Hapo kwenye tarehe 3 au 5, ilitajwa namba moja na jinsi ilivyo sound nilishindwa kuidaka!!