MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Hio ndio inaitwa kuondolewa kitaalamupale makao wanakagua barua kama ni mujibu wanakurudisha wanakuambia katume online,
Sahivi Ni miezi 4 kujitoleaNaona wameanzisha miez 4 kwa sasa...
Au n intake hii tu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mzee baba kama huna mbanga kutoboa kwa bahati sahau... yaani kweny majeshi ukute haki kabisa.....watu wana mbanga nzito afu wanamagamba ya mujibu na chomboni wanazama hutaamini sasa.....aliyeweza kusimamia hio inshu ya kuingia kwa vigezo tu jeshini alikiwa Magufuli....sahivi wenye nchi washachukua sasa wew endelea kushikilia hivo hivo kwamba Mujibu hata kama una mbanga huingiik..afu tegemea tu vigezo....utakutana nacho.... watu ni wengi broooh....na asilimia 80℅ ili upate hizi nafasi lazima uwe na mbanga.......endelea kukataaa afu subiria resultVigezo vinasema ni wale wa miaka miwili mbona tangazo lipo specific kabisa wangesema jkt tu hapo sawa mujibu unapata .
ni afsa gani huyo anapingana na vigezo
Yaani hapo automatically kigezo kinakutoa mujibu hata hao baba kantuma utawakuta kwenye majeshi wana vigezo pia
Hakuna shortcut sahivi
Kama una proffesional wenye uhitaji nayo na ni mujibu wa sheria, watakuchukua tu.Vigezo vinasema ni wale wa miaka miwili mbona tangazo lipo specific kabisa wangesema jkt tu hapo sawa mujibu unapata .
ni afsa gani huyo anapingana na vigezo
Yaani hapo automatically kigezo kinakutoa mujibu hata hao baba kantuma utawakuta kwenye majeshi wana vigezo pia
Hakuna shortcut sahivi
Sasa si wangeita watu kwenda interview mwezi huu wa 3.PDF ya polisi ni mwezi wa nne sahizi tuendelee na majukumu mengine tu
Dah ila vijana mko desperate sio poa tatizo hamjui what is behind...ila endeleeni tu kujaa tu upepo tu. Afu maisha sio polisi tu...utumishi nao wanaweza toa tangazo leo...mkaitwa interview baada ya miezi...hizo placement zikaja nazo baada ya miezi ..kama una mishe kitaa endelea kutafuta pesa...raha ya course kwenda uwe na hela utapiga course hauna stress ya vitu vidogovidogo...sasa ww endelea kukilaza na pdf jina lisitokee..Msiwapangie waajiri wenu. Kila kitu kina sababu sio lazima muambiwe in public ila wakat utafika watakaochaguliwa wataendaSasa si wangeita watu kwenda interview mwezi huu wa 3.
Appreciated !!Dah ila vijana mko desperate sio poa tatizo hamjui what is behind...ila endeleeni tu kujaa tu upepo tu. Afu maisha sio polisi tu...utumishi nao wanaweza toa tangazo leo...mkaitwa interview baada ya miezi...hizo placement zikaja nazo baada ya miezi ..kama una mishe kitaa endelea kutafuta pesa...raha ya course kwenda uwe na hela utapiga course hauna stress ya vitu vidogovidogo...sasa ww endelea kukilaza na pdf jina lisitokee..Msiwapangie waajiri wenu. Kila kitu kina sababu sio lazima muambiwe in public ila wakat utafika watakaochaguliwa wataenda
Kijana yupo busy sana saiv , kwa chaka alilopo saiv ingekuw mm nisingezifikiria kazi za majeshi kabisa nakubak uraiani...ila bado anapambania JWTZ ndio focus yake kijana wang ilipowakuu mnaparuana balaa yote ni bato la kusaka asali kwenye vyombo vyetu vya dola, hvii mwamba mr banks yukowapiii?
pamoja afsa, nikajua kaingia chomboni tayariKijana yupo busy sana saiv , kwa chaka alilopo saiv ingekuw mm nisingezifikiria kazi za majeshi kabisa nakubak uraiani...ila bado anapambania JWTZ ndio focus yake kijana wang ilipo
Kaka bado nipo uraiani kaka 😂😂pamoja afsa, nikajua kaingia chomboni tayari
Hawa huwa wanatangaza uraiani hawa?Wale wa kaunda suti mjiandae mwezi wa nne
Mkuu wa nne, ndio wanaanza chukua watu wao?Wale wa kaunda suti mjiandae mwezi wa nne
Wa nne wana jambo gani mkuu?Wale wa kaunda suti mjiandae mwezi wa nne
YesHawa huwa wanatangaza uraiani hawa?
Kuna jambo nimekuuliza hapo juu?