Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Naona wameanzisha miez 4 kwa sasa...
Au n intake hii tu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sahivi Ni miezi 4 kujitolea

Mujibu kama Kawaida miezi 3

Ajira wote majeshi wizara ya ndani mnapata itategemea na uhitaji wa mwaka husika

Mfano mwaka huu MT hawakutaka mujibu sababu walitaka form 4 plain wakiamini mujibu lazima six umefika

Mwaka ujao elimu zote zikitakiwa mujibu lazima wawepo
 
Vigezo vinasema ni wale wa miaka miwili mbona tangazo lipo specific kabisa wangesema jkt tu hapo sawa mujibu unapata .

ni afsa gani huyo anapingana na vigezo

Yaani hapo automatically kigezo kinakutoa mujibu hata hao baba kantuma utawakuta kwenye majeshi wana vigezo pia

Hakuna shortcut sahivi
Mzee baba kama huna mbanga kutoboa kwa bahati sahau... yaani kweny majeshi ukute haki kabisa.....watu wana mbanga nzito afu wanamagamba ya mujibu na chomboni wanazama hutaamini sasa.....aliyeweza kusimamia hio inshu ya kuingia kwa vigezo tu jeshini alikiwa Magufuli....sahivi wenye nchi washachukua sasa wew endelea kushikilia hivo hivo kwamba Mujibu hata kama una mbanga huingiik..afu tegemea tu vigezo....utakutana nacho.... watu ni wengi broooh....na asilimia 80℅ ili upate hizi nafasi lazima uwe na mbanga.......endelea kukataaa afu subiria result
 
Vigezo vinasema ni wale wa miaka miwili mbona tangazo lipo specific kabisa wangesema jkt tu hapo sawa mujibu unapata .

ni afsa gani huyo anapingana na vigezo

Yaani hapo automatically kigezo kinakutoa mujibu hata hao baba kantuma utawakuta kwenye majeshi wana vigezo pia

Hakuna shortcut sahivi
Kama una proffesional wenye uhitaji nayo na ni mujibu wa sheria, watakuchukua tu.
 
Sasa si wangeita watu kwenda interview mwezi huu wa 3.
Dah ila vijana mko desperate sio poa tatizo hamjui what is behind...ila endeleeni tu kujaa tu upepo tu. Afu maisha sio polisi tu...utumishi nao wanaweza toa tangazo leo...mkaitwa interview baada ya miezi...hizo placement zikaja nazo baada ya miezi ..kama una mishe kitaa endelea kutafuta pesa...raha ya course kwenda uwe na hela utapiga course hauna stress ya vitu vidogovidogo...sasa ww endelea kukilaza na pdf jina lisitokee..Msiwapangie waajiri wenu. Kila kitu kina sababu sio lazima muambiwe in public ila wakat utafika watakaochaguliwa wataenda
 
Appreciated !!
 
wakuu mnaparuana balaa yote ni bato la kusaka asali kwenye vyombo vyetu vya dola, hvii mwamba mr banks yukowapiii?
Kijana yupo busy sana saiv , kwa chaka alilopo saiv ingekuw mm nisingezifikiria kazi za majeshi kabisa nakubak uraiani...ila bado anapambania JWTZ ndio focus yake kijana wang ilipo
 
Daaah sema hili Pdf la pt linatupeleka mpwite pwiteee yan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maneno ni mengi na yameanza tangu dec Yan kila siku watu wanaibuka na mapya Kuwa siku flan Pdf linamwagwa yan tunasubiri mpka tunachoka
Tuna mishe za kufanya Ndio na zinatuingizia pesa ila kama mtu na akili zako huwezi sema huwazii Pdf la pt kozi it’s better to know upo au haupo ungoze nguvu Zingne

For sure it’s so sad, watu wengi wanajichekesha hapa na kujifanya wako normal lakn ndani ya mioyo Yao wanaugulia kukaa muda mrefu kusubiri Pdf la polisi
For sure TUMECHOKA mioyo imechoka KUSUBIRI [emoji174][emoji419]
 
Na tunaoumia na hili pdf la pt n sisi watoto wa masikini, hatuna connection na tegemeo letu kubwa n hilo [emoji3064]
Ni tofouti na wangen, sisi hata kazi za ulinzi hatuna connection yan hatuwezi pata hata kazi ya kufua Kwann tusiumie

Please kama hauna official information about kurelease pdf la pt it’s better kukaa kmya maana mnaotuumiza n ss watoto wa masikini hata hayo mabundle kuyapata tu n shida af mnatufanganya, please stay silently if you know nothing au hauna uhakika please [emoji24]
 
Back
Top Bottom