Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kuna siku nilisema humu huenda PDF la PT linawasubiri PCCB waende pamoja coz CCP nikabishiwa maana mwaka Jana nahisi ilikua hivyo
 
Wadau mmetoa lonja za Pt mpaka mmechoka! Sasa liwalo na liwe! Tunasubiri tu ! Watu tumekaa mkao wa kula alafu pdf itoke ukutane na ndoige 🤣🤣🤣🤣! Utafurahi na roho yako! Hapo ndipo utakapoanza kumpinga Lema kama bodaboda ni ajira!
 
Ila all in all hutakiwi kukata tamaa! Maisha yanakupeleka yatakavyo sio utakavyo ww! Pia ukipata fursa itumie vizuri! Wengi wenu huwa mnajisahau mnaanza kuleta mambo ya kipuuzi kulinganisha tpdf Vs polisi! Mara muanze kuulizia mishahara! Na wengi hua bado umri mdogo! Pale umri utakapoanza kukutupa mkono ndio utaelewa
 
Ingia kwenye page ya pt Instagram utakuta wametoa tarifa kuhusu miaka miwili ya mama .. ukisikiliza vzr wamesemaa ajira ni 3158 .. wataenda kozi mwezi april..
 
Asubuhi ya Kuamkia juzi Ijumaa majina yenye changamoto yalirudishwa Ofisi za ma RPC na Vituo Tofauti Vilivyoendeshwa Interview Hii maana yake nini Basi....!

THE WAIT IS ALMOST OVER NOW..PDF itatoka mpka Kufika Mwez wa 4 tarehe 15 Vijana wawe wameanza kuripoti📌🔨💪
 
Kwa kusema ivyo,any day from monday mzigo unaachiwa

Vijana waendelee kulinda damu pamoja miili
 
Ingia kwenye page ya pt Instagram utakuta wametoa tarifa kuhusu miaka miwili ya mama .. ukisikiliza vzr wamesemaa ajira ni 3158 .. wataenda kozi mwezi april..
Mbona nmesikiliza sijaona waliposema Ivo video za Instagram yao, Kama hutajali tusaidie utume hyo clip aliyosema ivo
 
Back
Top Bottom