Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Sasa hizi za jwtz mujibu ogopeni kuapply , mwisho wa siku watu watakapohitimu mtasema yule jamaa si mujibu kahitimu na tangazo lilisema wakujitolea...
Kaka tumeshajitosa...tunasikilizia wakitutosa tutabak tu kwa kanjibahi🤣
 
Jamani mii na swali kw wale watu ambao wamezoea kutuma maombi kwa njia ya email ivi unatuma kwa kuscan au kwa picha tuuh ya kawaida
 
Nimeinasaa huko nanukuu

"
Kivipi hebu fafanua kidogo.
nili peleka vyeti vyangu vyote nika jieleza kwamba nime pita jkt ila sikuchukuaga Cheti MP wa pale getin makao makuu aka sema Una nidanganya eee nika mjibu hapana aka itwa afande mwingine Nika pelekwa kwenye kichumba Kwa ndani kidogo waka nikaba tena kwamba sema ukweli nika salimu amri Nika sema sija pita ila nalipenda jeshi na Nina omba nijiunge vyeti hivi hapa waka vicheki wakani pongeza then waka sema kwa sasa hawana nafasi ila wata toa nafasi sa professional mwezi wa 5 then wata toa za jkt hapo hapo ndio waka sema Kwa muda huo ujao nina weza kuapply nika ondoka lakin baada ya hapo mwanajeshi mmoja aka nofuata kwa nyuma aka ningata skio kwamba kama nina kitu ana weza nisaidia kuingia Nika mwambia Mim yatima hela sina kazi sina aka niambia kila la kheri ... ndio hivyo wadau wangu...."" mwisho wa kunukuu

Kwahyo hapo inawezekana Jw wakaja kuchukua wale wenye proffesional mwez wa Tano
 
Back
Top Bottom