Hizo ni course mbili tofauti...they don't even share classes. Hata mabio they run separately. That is not excuse unless labda hujawah kuwepo CCP na kuona course yao inavyoendeshwa.Kuna siku nilisema humu huenda PDF la PT linawasubiri PCCB waende pamoja coz CCP nikabishiwa maana mwaka Jana nahisi ilikua hivyo
Mafunzo yataanza AprilJamani hivi kuanzia j3 hawawez kuposti pdf kweli maana sielew
Dah kweli kabisa nimeiona hioIngia kwenye page ya pt Instagram utakuta wametoa tarifa kuhusu miaka miwili ya mama .. ukisikiliza vzr wamesemaa ajira ni 3158 .. wataenda kozi mwezi april..
Kwa kusema ivyo,any day from monday mzigo unaachiwaAsubuhi ya Kuamkia juzi Ijumaa majina yenye changamoto yalirudishwa Ofisi za ma RPC na Vituo Tofauti Vilivyoendeshwa Interview Hii maana yake nini Basi....!
THE WAIT IS ALMOST OVER NOW..PDF itatoka mpka Kufika Mwez wa 4 tarehe 15 Vijana wawe wameanza kuripoti📌🔨💪
Makamanda mmenishtua nikajua mambo tayari tujue mbivubma mbichiTakukuru
Ingia kwenye page ya pt Instagram utakuta wametoa tarifa kuhusu miaka miwili ya mama .. ukisikiliza vzr wamesemaa ajira ni 3158 .. wataenda kozi mwezi april..
Huu Uzi uliuacha Kwanza kuna muda wanitia stress Sana wakuu,kila la kheri nitakuwa nakuja mara Moja humu
Mkuu Tanga huko nikiwa na mtaji wangu wa 2million siwez pata pazuri pakushika?Huu Uzi uliuacha Kwanza kuna muda wanitia stress Sana wakuu,kila la kheri nitakuwa nakuja mara Moja humu
Sio kila kitu NI uvumilivu ...walichokifanya it is a mistake.....speak the truth even if it is out of your favour......sio kila kitu tujifiche kwenye kivuli cha majeshiVijana bado mna uraia mwingi sana. Somo la uvumilivu hadi hapo mshafeli kabisa.
Fuata maelekezo humo...View attachment FORM-N-Residents-English (1).pdfNje ya mada wakuu ni utaratibu gani ufatwe ili umiliki pistol?
Dooh nmesoma apo kwenye copy zinazohitajika sio poa lakin pia sababu ya kumiliki bila ushahidi hutoboi maana kama self defense lazima sababu ziwe konki,aya kama ni crop protection lazima uonyeshe mashamba..Fuata maelekezo humo...View attachment 2558403
Mbona nmesikiliza sijaona waliposema Ivo video za Instagram yao, Kama hutajali tusaidie utume hyo clip aliyosema ivoIngia kwenye page ya pt Instagram utakuta wametoa tarifa kuhusu miaka miwili ya mama .. ukisikiliza vzr wamesemaa ajira ni 3158 .. wataenda kozi mwezi april..