Ingia insta kwenye account ya polisi.tanzania utaikuta....simple tuMbona nmesikiliza sijaona waliposema Ivo video za Instagram yao, Kama hutajali tusaidie utume hyo clip aliyosema ivo
Daah kuna dogo namjua hata hajapitia jakata lkn leo nimuona kapost nae kahitimu magereza daah maisha haya!!!Kiwira washavaa ugoro.......
Ishi na watu vizuri[emoji3]Daah kuna dogo namjua hata hajapitia jakata lkn leo nimuona kapost nae kahitimu magereza daah maisha haya!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hizi za jwtz mujibu ogopeni kuapply , mwisho wa siku watu watakapohitimu mtasema yule jamaa si mujibu kahitimu na tangazo lilisema wakujitolea...Daah kuna dogo namjua hata hajapitia jakata lkn leo nimuona kapost nae kahitimu magereza daah maisha haya!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka tumeshajitosa...tunasikilizia wakitutosa tutabak tu kwa kanjibahi🤣Sasa hizi za jwtz mujibu ogopeni kuapply , mwisho wa siku watu watakapohitimu mtasema yule jamaa si mujibu kahitimu na tangazo lilisema wakujitolea...
HASWAAAA MKUU📌🔨Kwa kusema ivyo,any day from monday mzigo unaachiwa
Vijana waendelee kulinda damu pamoja miili
Km ni Uhakika zama PM unipe Some Details emWakuu nina 1 million kwa atakae nipenyeza kwenye ajiraa. Ipo cash
Kaka umepata hela nyingi hadi unahitaji ulinzi wako binafsi?Nje ya mada wakuu ni utaratibu gani ufatwe ili umiliki pistol?
ScanJamani mii na swali kw wale watu ambao wamezoea kutuma maombi kwa njia ya email ivi unatuma kwa kuscan au kwa picha tuuh ya kawaida
[emoji23][emoji23]nauliza kabisa nikizipata niwe na info zote za umilikiKaka umepata hela nyingi hadi unahitaji ulinzi wako binafsi?
Sawa ntakufanyia mpango uipate chief[emoji23][emoji23]nauliza kabisa nikizipata niwe na info zote za umiliki
nili peleka vyeti vyangu vyote nika jieleza kwamba nime pita jkt ila sikuchukuaga Cheti MP wa pale getin makao makuu aka sema Una nidanganya eee nika mjibu hapana aka itwa afande mwingine Nika pelekwa kwenye kichumba Kwa ndani kidogo waka nikaba tena kwamba sema ukweli nika salimu amri Nika sema sija pita ila nalipenda jeshi na Nina omba nijiunge vyeti hivi hapa waka vicheki wakani pongeza then waka sema kwa sasa hawana nafasi ila wata toa nafasi sa professional mwezi wa 5 then wata toa za jkt hapo hapo ndio waka sema Kwa muda huo ujao nina weza kuapply nika ondoka lakin baada ya hapo mwanajeshi mmoja aka nofuata kwa nyuma aka ningata skio kwamba kama nina kitu ana weza nisaidia kuingia Nika mwambia Mim yatima hela sina kazi sina aka niambia kila la kheri ... ndio hivyo wadau wangu...."" mwisho wa kunukuuKivipi hebu fafanua kidogo.
Naam nakubali chief ntakutafutaSawa ntakufanyia mpango uipate chief
Scan barua na vyeti vyote viwe katika pdf Moja then tumaJamani mii na swali kw wale watu ambao wamezoea kutuma maombi kwa njia ya email ivi unatuma kwa kuscan au kwa picha tuuh ya kawaida
sawa chiefNaam nakubali chief ntakutafuta
Na hiyo 158 inaweza ikawa idadi ya professional or Bellow Mambo sio MamboDah.....3158 mbona wachache ukiringanisha na intake iliyopita[emoji848]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app