Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kongole Kwa wote waliopata bahati ya kuchaguliwa katika nafasi za Jeshi la polisi.

Pia Kwa wale waliokosa nafasi msikate tamaa wala kuhuzunika sana na kujilaumu, ni mipango ya Mungu kupata na kukosa.

Next time, itafika zamu yenu iwe kwenye majeshi au kwenye sekta mingine. Kikubwa ni kupata ajira na kuweza kujikimu vyema maishani.

TUISHI NA WATU VYEMA, HESHIMU KILA MTU NA EPUKA DHARAU NA MAJIVUNO.

MARA MINGI M/MUNGU ANATOA RIZIKI ZA KILA MTU KUPITIA KWA MTU.
 
Poleni sana vijana..

Naona walIoomba kwa Degree wapo 203 Bara. Na wote wametokela Makao Makuu Dodoma.

Sikuona Tangazo la Maombi, je wao hawakupaswa kuomba kwa Makamanda wa Mikoa?

Hapana sio wa dodoma ila degree ilikuwa unaomba direct makao makuu sio kwa makamanda wa mikoa….
 
Kongole Kwa wote waliopata bahati ya kuchaguliwa katika nafasi za Jeshi la polisi.

Pia Kwa wale waliokosa nafasi msikate tamaa wala kuhuzunika sana na kujilaumu, ni mipango ya Mungu kupata na kukosa.

Next time, itafika zamu yenu iwe kwenye majeshi au kwenye sekta mingine. Kikubwa ni kupata ajira na kuweza kujikimu vyema maishani.

TUISHI NA WATU VYEMA, HESHIMU KILA MTU NA EPUKA DHARAU NA MAJIVUNO.

MARA MINGI M/MUNGU ANATOA RIZIKI ZA KILA MTU KUPITIA KWA MTU.

Fani ya Mortuary attendant walioitwa kwenye usaili ni wawili tu, cha ajabu kwenye PDF hawapo wote
Kwan majina yameainishwa kulingana na fani ama elimu ?
 
Kongole Kwa wote waliopata bahati ya kuchaguliwa katika nafasi za Jeshi la polisi.

Pia Kwa wale waliokosa nafasi msikate tamaa wala kuhuzunika sana na kujilaumu, ni mipango ya Mungu kupata na kukosa.

Next time, itafika zamu yenu iwe kwenye majeshi au kwenye sekta mingine. Kikubwa ni kupata ajira na kuweza kujikimu vyema maishani.

TUISHI NA WATU VYEMA, HESHIMU KILA MTU NA EPUKA DHARAU NA MAJIVUNO.

MARA MINGI M/MUNGU ANATOA RIZIKI ZA KILA MTU KUPITIA KWA MTU.
Bado kuna room ya kuingia CCP...wapo watakaoingia baadae kukamilisha idadi iliyoombwa maana bado haijakamilika. Wengine wapo reserve. Vijana endeleeeni kupambana.
 
Back
Top Bottom