Am_tunnechi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2022
- 1,060
- 1,956
Kongole kaka[emoji109]Pongezi kwa mwanangu wa ikuru kaupiga mwingi sina cha kumlipa
Ngoja sasa nimgande pia amuingize mdogo wake na mzazi mwenzangu JW
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kongole kaka[emoji109]Pongezi kwa mwanangu wa ikuru kaupiga mwingi sina cha kumlipa
Ngoja sasa nimgande pia amuingize mdogo wake na mzazi mwenzangu JW
Umeonaa eeh! Yani acha tuu life is unfairWatu wanaugulia maumivu tu.
Kokote tu fursa inapojitokeza ni kuruka nako...hakuna kukata tamaaHii nchi ishakua chungu na ngumu, Kwenye majeshi nime give up.
Majeshi yangu nayaelekeza utumishi sasa hivi.
Kila la kheri wanangu.!![emoji119][emoji57]
Mzee wa chamwino amekupakulia manyama ya kutosha..Pongezi kwa mwanangu wa ikuru kaupiga mwingi sina cha kumlipa
Ngoja sasa nimgande pia amuingize mdogo wake na mzazi mwenzangu JW
Hongera mkuu ..Pongezi kwa mwanangu wa ikuru kaupiga mwingi sina cha kumlipa
Ngoja sasa nimgande pia amuingize mdogo wake na mzazi mwenzangu JW
[emoji23]Polisi wenyewe njaa kama sisi tu ,, wanatukopa sana pesa za fegi na bia mtaani[emoji2][emoji2]
Tukomae mtaani wakuu.
Poleni sana vijana..
Naona walIoomba kwa Degree wapo 203 Bara. Na wote wametokela Makao Makuu Dodoma.
Sikuona Tangazo la Maombi, je wao hawakupaswa kuomba kwa Makamanda wa Mikoa?
nacheka kama mazuriiiWatu wamepigwa na hiyo ngumi mpya ya mlunga mbuga
Hongera zako mkuuPongezi kwa mwanangu wa ikuru kaupiga mwingi sina cha kumlipa
Ngoja sasa nimgande pia amuingize mdogo wake na mzazi mwenzangu JW
[emoji16][emoji16][emoji16]kwamba wameliwa kichwa, ulitokea nini kwenye usahili??Fani ya Mortuary attendant walioitwa kwenye usaili ni wawili tu, cha ajabu kwenye PDF hawapo wote
Kongole Kwa wote waliopata bahati ya kuchaguliwa katika nafasi za Jeshi la polisi.
Pia Kwa wale waliokosa nafasi msikate tamaa wala kuhuzunika sana na kujilaumu, ni mipango ya Mungu kupata na kukosa.
Next time, itafika zamu yenu iwe kwenye majeshi au kwenye sekta mingine. Kikubwa ni kupata ajira na kuweza kujikimu vyema maishani.
TUISHI NA WATU VYEMA, HESHIMU KILA MTU NA EPUKA DHARAU NA MAJIVUNO.
MARA MINGI M/MUNGU ANATOA RIZIKI ZA KILA MTU KUPITIA KWA MTU.
Kwan majina yameainishwa kulingana na fani ama elimu ?Fani ya Mortuary attendant walioitwa kwenye usaili ni wawili tu, cha ajabu kwenye PDF hawapo wote
Majina ya usaili ndo yameainishwa kwa fani.. Ila hayo majina kule kwa waliochaguliwa kujiunga na jeshi la polisi hayapo mkuuKwan majina yameainishwa kulingana na fani ama elimu ?
Kijana umefanikiwa?Hongera mkuu ..
Bado kuna room ya kuingia CCP...wapo watakaoingia baadae kukamilisha idadi iliyoombwa maana bado haijakamilika. Wengine wapo reserve. Vijana endeleeeni kupambana.Kongole Kwa wote waliopata bahati ya kuchaguliwa katika nafasi za Jeshi la polisi.