Unaingiajee tena au wanapiga cm mkuuBado kuna room ya kuingia CCP...wapo watakaoingia baadae kukamilisha idadi iliyoombwa maana bado haijakamilika. Wengine wapo reserve. Vijana endeleeeni kupambana.
Hao wapo reserve wanaingia na Hawa majina yametoka pdf au wao wataingiza baadae Hawa wa pdf waisha Anza koziBado kuna room ya kuingia CCP...wapo watakaoingia baadae kukamilisha idadi iliyoombwa maana bado haijakamilika. Wengine wapo reserve. Vijana endeleeeni kupambana.
Sasa amejuaje kama fani fulani hawajachaguliwa kabisa?Majina ya usaili ndo yameainishwa kwa fani.. Ila hayo majina kule kwa waliochaguliwa kujiunga na jeshi la polisi hayapo mkuu
Huwezi jua inaweza ikawa yeye ni mmoja wapo katika hao wawiliSasa amejuaje kama fani fulani hawajachaguliwa kabisa?
Watataarifiwa tu. Kule ukizingua unafukuzwa leo. Kesho mtu wa kukureplace anaingia kumaintain number. So mliochaguliwa huko mtunze hizo nafasi mpaka mwisho.Unaingiajee tena au wanapiga cm mkuu
Reserve anaingia muda wowote. Course iliyopita ilianza October ila kundi lingine kubwa likaingia FebruaryMwaka Jana kuna mtu alipigiwa siku baada ya PDF kutoka alisema alichukuliwa reserve sjui kwa mwaka huu
… ukipata chaka…Hongereni kwa mliochaguliwa kuingia PT. Nidhamu yako ni muhimu sana. Course imeongezwa muda kutoka miezi 9 mpaka mwaka mzima. Mnatakiwa kuwa makini sana kwani kukaa course mda mrefu watu wanachoka na kufanya makosa kizembe. Makamanda waliokuw CCP kwa intake iliyopita wengi wamehamishwa na walikuw na uvumiliv kiasi. Ila waliobaki ni wananyoosha sheria. Yani in short CI amenyooka, " unapepea" huku unajiona ukizingua. Kama una cheti feki bora tu usiende utakamatwa na kufunguliwa mashtaka. Lakini pia msidharau watu kule...kuna wengine utapiga nao course utawaona Kama wenzako ila wapo na " kazi zao maalumu". Tengeneza connection. Watoto wa wakubwa watakuwepo tu. Siku ngumu kwa upande wangu ilikuw siku ya kwanza kuingia CCP maana ndio kuna intro. Kila atakayefika atakuw na intro yake kulingana na siku aliyofika. So ukifika siku ambayo mpo wengi, then angalau kuliko mkiwa wachache. Muishi wa akili, ukipata chaka lishikilie, kupunguza makali ya course. All the best
Vipi mkuu?… ukipata chaka…
Hilo mkuu umewakumbusha vijana wao watafikiri wote wanapiga kozi kumbe wengine kazi maalumu tena maalumu na wengine wataondoka ghafla hawatawaona… ukipata chaka…
Sema we inaonesha umepata shavu apa unawachora tu wadauMpo kimya jamani chatini wengine tusome comments zenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji120]
Daa! Niombee nipate intake nyingine ila sio Hiki nimepigwa chini mpaka ni kasema zikija nafasi zingine naziba macho Na maskio nisi appy kabisa😂😂😂😂😂 ila bora nicheke nifurahishe moyoSema we inaonesha umepata shavu apa unawachora tu wadau
[emoji817] nidhamu ni jambo la msingi sana... Na ishu ya cmu imesisitizwa sana...Hongereni kwa mliochaguliwa kuingia PT. Nidhamu yako ni muhimu sana. Course imeongezwa muda kutoka miezi 9 mpaka mwaka mzima. Mnatakiwa kuwa makini sana kwani kukaa course mda mrefu watu wanachoka na kufanya makosa kizembe. Makamanda waliokuw CCP kwa intake iliyopita wengi wamehamishwa na walikuw na uvumiliv kiasi. Ila waliobaki ni wananyoosha sheria. Yani in short CI amenyooka, " unapepea" huku unajiona ukizingua. Kama una cheti feki bora tu usiende utakamatwa na kufunguliwa mashtaka. Lakini pia msidharau watu kule...kuna wengine utapiga nao course utawaona Kama wenzako ila wapo na " kazi zao maalumu". Tengeneza connection. Watoto wa wakubwa watakuwepo tu. Siku ngumu kwa upande wangu ilikuw siku ya kwanza kuingia CCP maana ndio kuna intro. Kila atakayefika atakuw na intro yake kulingana na siku aliyofika. So ukifika siku ambayo mpo wengi, then angalau kuliko mkiwa wachache. Muishi wa akili, ukipata chaka lishikilie, kupunguza makali ya course. All the best
WAzee wa kazi huwa hawakosekani popole paleeeHilo mkuu umewakumbusha vijana wao watafikiri wote wanapiga kozi kumbe wengine kazi maalumu tena maalumu na wengine wataondoka ghafla hawatawaona
TUvute subiraReserve anaingia muda wowote. Course iliyopita ilianza October ila kundi lingine kubwa likaingia February
Mkuu kwamba kundi la pili la February ndo walikua reserve auReserve anaingia muda wowote. Course iliyopita ilianza October ila kundi lingine kubwa likaingia February
Mkuu Ndege tai naww unasubiri reserve??TUvute subira