Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Bado kuna room ya kuingia CCP...wapo watakaoingia baadae kukamilisha idadi iliyoombwa maana bado haijakamilika. Wengine wapo reserve. Vijana endeleeeni kupambana.
Hao wapo reserve wanaingia na Hawa majina yametoka pdf au wao wataingiza baadae Hawa wa pdf waisha Anza kozi
 
Kuna kitabu nimekisoma majuzi kinahusu jinsi ya kushinda Changamoto "How to win Crisis" by MYLES MUNROE.

Kimenisaidia sana katika PDF hii baada ya kutoka na kuona jina langu halipo.

Nimegundua kuna Maisha mapya mazuri katika kila Failure....

Kitu Pekee cha muhimu kilichoniboost Pale kitabu kiliponiambia sitakiwi kulaumu au kulalamika kwa hali yeyote ile.

Ni vyema tukajiongezea maarifa katika nyakati ngumu kama hizi. Ahsante....
 
Mwaka Jana kuna mtu alipigiwa siku baada ya PDF kutoka alisema alichukuliwa reserve sjui kwa mwaka huu
 
Reserve anaingia muda wowote. Course iliyopita ilianza October ila kundi lingine kubwa likaingia February
 
Hongereni kwa mliochaguliwa kuingia PT. Nidhamu yako ni muhimu sana. Course imeongezwa muda kutoka miezi 9 mpaka mwaka mzima. Mnatakiwa kuwa makini sana kwani kukaa course mda mrefu watu wanachoka na kufanya makosa kizembe. Makamanda waliokuw CCP kwa intake iliyopita wengi wamehamishwa na walikuw na uvumiliv kiasi. Ila waliobaki ni wananyoosha sheria. Yani in short CI amenyooka, " unapepea" huku unajiona ukizingua. Kama una cheti feki bora tu usiende utakamatwa na kufunguliwa mashtaka. Lakini pia msidharau watu kule...kuna wengine utapiga nao course utawaona Kama wenzako ila wapo na " kazi zao maalumu". Tengeneza connection. Watoto wa wakubwa watakuwepo tu. Siku ngumu kwa upande wangu ilikuw siku ya kwanza kuingia CCP maana ndio kuna intro. Kila atakayefika atakuw na intro yake kulingana na siku aliyofika. So ukifika siku ambayo mpo wengi, then angalau kuliko mkiwa wachache. Muishi wa akili, ukipata chaka lishikilie, kupunguza makali ya course. All the best
 
… ukipata chaka…
 
Sema we inaonesha umepata shavu apa unawachora tu wadau
Daa! Niombee nipate intake nyingine ila sio Hiki nimepigwa chini mpaka ni kasema zikija nafasi zingine naziba macho Na maskio nisi appy kabisa😂😂😂😂😂 ila bora nicheke nifurahishe moyo
 
Hongereni kwa mliochaguliwa kuingia PT. Nidhamu yako ni muhimu sana. Course imeongezwa muda kutoka miezi 9 mpaka mwaka mzima. Mnatakiwa kuwa makini sana kwani kukaa course mda mrefu watu wanachoka na kufanya makosa kizembe. Makamanda waliokuw CCP kwa intake iliyopita wengi wamehamishwa na walikuw na uvumiliv kiasi. Ila waliobaki ni wananyoosha sheria. Yani in short CI amenyooka, " unapepea" huku unajiona ukizingua. Kama una cheti feki bora tu usiende utakamatwa na kufunguliwa mashtaka. Lakini pia msidharau watu kule...kuna wengine utapiga nao course utawaona Kama wenzako ila wapo na " kazi zao maalumu". Tengeneza connection. Watoto wa wakubwa watakuwepo tu. Siku ngumu kwa upande wangu ilikuw siku ya kwanza kuingia CCP maana ndio kuna intro. Kila atakayefika atakuw na intro yake kulingana na siku aliyofika. So ukifika siku ambayo mpo wengi, then angalau kuliko mkiwa wachache. Muishi wa akili, ukipata chaka lishikilie, kupunguza makali ya course. All the best
[emoji817] nidhamu ni jambo la msingi sana... Na ishu ya cmu imesisitizwa sana...
 
Hilo mkuu umewakumbusha vijana wao watafikiri wote wanapiga kozi kumbe wengine kazi maalumu tena maalumu na wengine wataondoka ghafla hawatawaona
WAzee wa kazi huwa hawakosekani popole paleee
 
Back
Top Bottom