Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Sahihi Dys...7 ila mengine yameoa kabisa.
Sema yanaingia kimbinu yakakomae tu
2017 nilipigwa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndio hivyo mzee. Cha muhimu mtu kazi umepata, mengine yatafata tu baada ya hapo kamanda
 
Hao reserve wakuu tufahamishane jinsi ya kuingia Kupitia huko Vijana wanamhitaji kufahamu
 
Hao reserve wakuu tufahamishane jinsi ya kuingia Kupitia huko Vijana wanamhitaji kufahamu
Jeshi likihitaji litawatafuta tu katika wale waliofanya usaili ila hawakupata nafasi ya kwenda kwa sasa. So ni mpaka wao wakutafute sio wewe uwatafute.
 
Jeshi likihitaji litawatafuta tu katika wale waliofanya usaili ila hawakupata nafasi ya kwenda kwa sasa. So ni mpaka wao wakutafute sio wewe uwatafute.

Alafu samahani Naona kujulishwa wataokutafuta n watu wa CCP Moshi au wa Makao makuu ili tujue wanazengo tunapambana na kina nan [emoji23]
 
Me naomba kujulishwa vizuri, hii mambo ya reserve ni Kuwa ukipambania ndo unapata au wanakupigia simu wao kama wao au watatoa batch nyingne kama walivyotoa mwanzo au n mambo ya kimya kmya
Hakuna atakae kupigia simu mzee nafasi zilizobaki zote wataingia watu wenye Konekshen kuna watu wanaingia course wenzao wameshateseka miez mi3 wengine wanaingia kimya kimya had kozi imeshafika Katikati na anapewa chaka la kujificha asiumie na maovyo ovyo ya kozi
Kama huna Konekshen nafasi pekee unayoweza kuipata ni ya hizo pdf zilizotolewa hapo ndo wapo ambao hawana hata koneskshen waomba Mungu pekee zilizo baki zote zinajaziwa na watoto wa wakubwa
 
Sema hii ni kwa PT kwa JW huwezi kuingia katikati ya kozi boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…